Recent content by ndeecho

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kimenuka CCM Arusha sasa vipande vipande

    lowassa ni papa la mafisad hafai kutakatishwa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Wanasiasa wanaopenda sifa kama Mbowe sasa basi

    Bila mbowe leo makonda angekua marehem.tulimwona alivyo jificha nyuma ya rpc.
  3. N

    JamiiForums Tanzania NCCR wapinga mgao wa Majimbo UKAWA

    Magazeti ya mafisad unategemea yaandike mazuri ya ukawa.wakati ukawa wanawanyima usingizi.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wabunge wanaoaga yazidi kuongezeka

    Huku geita mjin mbunge wa ccm ndugu max .alipoona matokeo ya serikali za mitaa aliaga rasmi.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: NCCR kuna ugomvi

    Ukiona mtu anaaza kusema cha hiki ni cha kanda fulani,chamahiki cha kabila fulan,chama cha dini fulan.ujue huyo mtu kashiwa hoja.anatasuta msaada wa hoja zake za ukanda ukabila udini zi mbebe.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM aliyemimina Risasi mbele ya Ofisi ya CHADEMA Bariadi,ahukumiwa kulipa Sh. 2,000/=

    huyo hakimu aliamua kuifurahisha mahakama.hukum gani hiyo.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majimbo utata UKAWA unashauri apewe nani?

    Segerea cdm.temeke cuf.ilala cuf.kinondonni cuf.ukonga cdm.kigambon cdm.sereget cdm.mafia cdm.moro cdm.kilosa cdm.mtwara cuf.vunjo nccr ni sawa.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwa kasi hii, Zitto Kabwe kwa sasa ni power broker katika chaguzi kuu

    Hata mrema alikua power ful
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya rais Kikwete imeandamwa na migomo kila kukicha?

    Ni kushindwa kwa utawala.na ni dalili mbaya kuanguka kwa serikal ya ccm.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ukawa bila act ni ubatili

    Act ni kimtaa gani hako.au ka mnyama gani hako .tu dadavulie hatujui act ni kitu gani hicho.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Gavana: Ununuzi wa vifaa vya BVR,mitambo ya TANESCO na mabehewa ya treni sababu za kushuka shilingi

    Ckwel.mmezoea kutudanganyae!!! Inaonesha bank kuu hamna kitu siyo.escorow ndo sosi ya kuporomoka kwa uchumi na cyo tanesco ,bvr na mabehewa ya tren.benno ndulu anapaswa kuachia ngazi.kashindwa kazi.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wassira amchamba Lowassa kuhusu Shule za Kata

    Mmeanza kutafunanae!! Subirini kura ya nec.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kahama, Kawe, Ubungo na Segerea wananiomba nigombee ubunge

    Zzk hanatena mvuto.na wanaomdanganya asipojitizama ataangukia pua.mm niko kahama mbona hatujayasikia hayo.na tutaangalia msimamo wake.maana alituambia anaenda jombo la kg mjin.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majimbo utata UKAWA unashauri apewe nani?

    Watanzania acheni kua ma zezeta.hili gazeti mmeshaambiwa ni la mafisadi papa.rostam& lowassa.mnategemea liandikeje(. Mtanzania)
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe awatia moyo watia nia ya kugombea wasio na pochi nene.

    Kasema kweli.kaliona
Back
Top Bottom