Acha ushamba kasi ipi ya kuwaondoa watumishi wa umma wa darasa LA saba ilihali waliajiriwa kihalali Nayeye mwenyewe alisema mwenyewe kule Kilimanjaro meimosi ya kua hana shida na watumishi wa darasa LA saba kwani hawajafoji vyeti.anaangalia vyeti vya form four six na chuo
.
kuna jambo linanisikitisha mno kuna swala LA serikali kusema inawajali wanyonge huo ni unafiki mkubwa kwani chaguzi zinazorudiwa ni ufujaji wa kodi za Watanzania
kuna hili swala LA watumishi wa darasa LA saba walioenguliwa eti hawana vyeti vya form four Sasa serikali ilipowaajiri haikujua kama elimu yao ni ya darasa LA saba? Na isitoshe tangu walipositishiwa mishahara yao hakuna kauli yoyote iliotolewa kuhusu wao sana sana waziri mkuchika aligusia...
Ni kweli mkuu Hii serikali ya AWAMU hii ni ya kiini macho kwani hata Mimi nimeona madai ya watumishi watakaolipwa ni wa ngazi za juu sio malofa kama Aliekaimu uongozi atalipwa ndo unakuja waziri wa fedha bila aibu unadanganya umma Kwa kutaka kiki eti tunalipa madeni ya watumishi ulaghai...
Kuna hawa watumishi wa umma walioachishwa mishahara yao tangu mwezi July Kwa nini hawalipwi haki zao ? kwani walijiajiri wenyewe? na isitoshe kama kama ni vigezo kwani hawakuviona hivyo vigezo? Lakini OK ikifika uchaguzi watu hawajitambui
Kuna hili swala LA MAJI safi katika mkoa wa pwani wilaya ya Kibaha kata ya Mkuza yani Eneo Kwa mathiasi Takriban miezi zaidi ya mitano MAJI yanatoka machafu baada ya muda yanatoka tena masafi inakua ni hivyo hivyo.Sasa nauliza mamlaka husika Kwa nini wasiyatibu MAJI katika hatua zote...
Mkuu hata Mimi nashindwa kujua upinzani ni uadui? na yote haya yanafanyika Kwa maslaihi ya uroho ubinafsi wa MTU mmoja mmoja ulafi hayanywi Kwa maslahi ya wananchi no ni ushetani wao tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.