Recent content by ndawo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Niuzie pooltable used

    Mambo vipi hivi ulifanikiwa kupata wanapouza pooltable arusha??
  2. N

    JamiiForums Tanzania Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

    Kunyenye boy daah daah kitambo sana kwa wagalatia
  3. N

    JamiiForums Tanzania Lissu amshukuru Rais Magufuli kwa wema aliomtendea

    Hata ingekuwa mimi nisingepokea hizi shukrani kama wanasema serikali inahusika kumfanya alivyo bhasi kamshukuru kwa aliyomtendea
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli mwanamke aliyekomaa kiumri ndiye anayepata utamu wa sex?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] kupoteza maisha
  5. N

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA MASOMO

    TANGAZO SHULE YA SEKONDARI ARUSHA MODERN CHINI YA UONGOZI THABITI KATIKA KUTOA ELIMU BORA NA NIDHAMU KWA WANAFUNZI, INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA KWANZA 2018 KWA MITAALA YA NECTA NA CAMBRIDGE. INTERVIEW ZITAFANYIKA TAREHE 14 OKTOBA 2017 SHULENI ARUSHA MODERN KAMPAS ZA SAKINA NA...
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetuma ujumbe wa kiamsha shari kimakosa kwa mama mkwe, sasa nimechanganyikiwa

    Daaa mkuu hii sijawahifikiria Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari Arusha modern inatangaza nafasi za masomo

    TANGAZO Shule ya sejondari SEKONDARI ARUSHA MODERN chini ya uongozi thabiti katika kutoa elimu bora na nidhamu kwa wanafunzi inawatangazia nafasi za masomo kwa KIDATO CHA TANO 2017. Michepuo inayotoewa ni PCM, PCB, PGM, CBG, EGM, HGE NA ECA. MASOMO YATAANZA TAREHE 5 JUNE 2017 Pia shule ina...
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada vaeni chupi zenye mvuto!

    Mkuu yani umenichekesha ya hela yote
  9. N

    JamiiForums Tanzania Anayejua hili jengo lipo wapi na linahusika na nini adondoshe comments zake hapa.

    Arusha cultural heritage
  10. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Magodoro mawili 5×6 yanauzwa..

    Maswali ya karaha na majibu ya jeuri
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, CDF mpelekeni Tundu Lissu mahakama ya kijeshi - court Marshall

    Una uhakika hana ushahid??
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa za wanawake/wadada wanene

    Mkuu umetishaa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Mkuu umetisha
  14. N

    JamiiForums Tanzania Huwa naenjoy kusoma yaliyo andikwa nyuma ya daladala........

    Mawe yataiva na kuni zitabaki
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa, ni wazi kabisa kuwa Paul Makonda atajiuzulu au atatenguliwa!

    Laana ya warioba haitamuacha huyu
Back
Top Bottom