Recent content by NdasheneMbandu

  1. NdasheneMbandu

    Naibu Spika: Sitamgusa Mbunge yeyote

    Wamekuibia mke nini!!! Uwe muwazi.
  2. NdasheneMbandu

    Mwigulu Nchemba yupo wapi?

    tehe tehe tehee ehee, umevunja mbavu zangu.
  3. NdasheneMbandu

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Hayo ni matunda ya mahubiri ya Shekhe Ubwabwa Ilunga.
  4. NdasheneMbandu

    "CHADEMA" Mhe: Susan Limbweni Kiwanga, Mwanamke wa Chuma Morogoro

    This mother is good. Ananivutia sana anapochangia mijadala bungeni. Leo amechangia kwa kishindo bajeti ya wizara ya maliasili na utalii. Bravo mama.
  5. NdasheneMbandu

    HOTUBA ya Kambi ya Upinzani Bungeni, Maliasili na Utalii na Peter Msigwa (FULL TEXT)

    Kwa akili hiyo, ilifaa uitwe ZeMakopo tena kopo lisilo na kitu ndani.
  6. NdasheneMbandu

    Sherehe za Muungano: Kikwete amkwepa Lowassa?

    Nami niliona na uso wa Lowassa ulionekana dhahiri kutofurahia kitendo hicho.
  7. NdasheneMbandu

    Dialo ni ngome ya Lowassa??

    Kwanza ni muhimu ifahamike kuwa asilimia 99.9999999 ya wenyeviti wa ccm wa mikoa wapo upande wa Lowassa. Pili, Diallo ni rafiki wa karibu wa Lowassa tangu wakiwa kwenye awamu ya kwanza ya uongozi wa Jakaya Kikwete.
  8. NdasheneMbandu

    Kikwete: Sijashindwa kuiongoza Tanzania!

    Wasiwasi wake tu.
  9. NdasheneMbandu

    Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?

    Nakubaliana na wewe kabisa. Eneo alilokaa mwarabu hapa nchini lazima liwe maskini. Sijui ni kwa nini!!!!
  10. NdasheneMbandu

    Mwanamuziki wa Kifaransa mwenye kuimba nyimbo za rap awa muislam asilimu

    Pata muda wa kusoma vizuri Biblia. Unaweza kufunuliwa na kuijua vizuri siri ya Mungu.
  11. NdasheneMbandu

    Mwanamuziki wa Kifaransa mwenye kuimba nyimbo za rap awa muislam asilimu

    Pata muda wa kusoma vizuri Biblia. Uanweza kufunuliwa na kuijua vizuri siri ya Mungu.
  12. NdasheneMbandu

    Mwanamuziki wa Kifaransa mwenye kuimba nyimbo za rap awa muislam asilimu

    Ukitaka majadiliano ya kina kuhusu tofauti ya dini hizi mbili, anzisha uzi mpya. Huu umejaa kashfa zaidi. But what you need to avoid ni generalization. Yapo mambo ambayo Biblia imeyakataza tena kwa lugha kali, lakini wanadamu wanaojiita wakristo hawayazingatii kama ilivyo kwenu pia wapo...
  13. NdasheneMbandu

    Mwanamuziki wa Kifaransa mwenye kuimba nyimbo za rap awa muislam asilimu

    Tunafukuza mapepo mnayoyaheshimu na kuabudu nayo misikitini. Hivi wewe mzee wa ubwabwa unajua kwa nini inaitwa KITIMOTO?
Back
Top Bottom