Team Lowasa bhana ! Hamkati tamaa tu ? Yaani Leo ndiyo mmeamua kutuletea upuuzi huu siyo ! Kweli nyama na pombe ni balaa ! Mimi nilijua ni Monduli tu , kumbe hata Jf ofa imetia team duh !
Hivi ni Itifaki au kuna kingine?
Leo akisalimia wageni waalikwa kwa kushikana nao mikono na kila mmoja, lkn hakumpa mkono Lowassa pamoja na Lowassa kupenyeza mkono lkn JK 'hakuuona'.
Wakati JK anarudi baada ya kumaliza kusalimiana akirudi kuketi, Lowassa alimpungia JK lkn kwa 'bahati mbaya' JK hakumuona!
GTs, tukio hili ni la Kiitifaki au ndio mtifuano wa kimaslahi na kimakundi ndani ya CCM?
Kama ni kweli, basi hali ni mbaya kuliko tunavyodhani.Mungu wangu tumefika hapa?????
Mkuu mwenyewe ushasema 'hakumuona' akapunga mkono 'kwa bahati mbaya' hakumuona..., sasa sijui ndio unatuambia nini.Hivi ni Itifaki au kuna kingine?
Leo akisalimia wageni waalikwa kwa kushikana nao mikono na kila mmoja, lkn hakumpa mkono Lowassa pamoja na Lowassa kupenyeza mkono lkn JK 'hakuuona'.
Wakati JK anarudi baada ya kumaliza kusalimiana akirudi kuketi, Lowassa alimpungia JK lkn kwa 'bahati mbaya' JK hakumuona!
GTs, tukio hili ni la Kiitifaki au ndio mtifuano wa kimaslahi na kimakundi ndani ya CCM?
Mkuu mwenyewe ushasema 'hakumuona' akapunga mkono 'kwa bahati mbaya' hakumuona..., sasa sijui ndio unatuambia nini.
mbona ameeleweka?Mkuu mwenyewe ushasema 'hakumuona' akapunga mkono 'kwa bahati mbaya' hakumuona..., sasa sijui ndio unatuambia nini.
Slaa yupo Arusha?
Hivi ni Itifaki au kuna kingine?
Leo akisalimia wageni waalikwa kwa kushikana nao mikono na kila mmoja, lkn hakumpa mkono Lowassa pamoja na Lowassa kupenyeza mkono lkn JK 'hakuuona'.
Wakati JK anarudi baada ya kumaliza kusalimiana akirudi kuketi, Lowassa alimpungia JK lkn kwa 'bahati mbaya' JK hakumuona!
GTs, tukio hili ni la Kiitifaki au ndio mtifuano wa kimaslahi na kimakundi ndani ya CCM?
Mwaka 2016 JK atakuwa ameshajenga maadui wengi ndani na nje ya chama chake.
Imagine Lema apewe wizara inayochunguza mali za viongozi wastaafu na katiba ikiwa imesharuhusu kiongozi mkuu kushtakiwa kwa matendo maovu aliyofanya? Nini kitatokea? Sio vizuri rais kuendekeza chuki na visasi