Recent content by NDANGA

  1. NDANGA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wa mama mdogo ananirubuni anioe, nifanyeje?

    Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo wangu unasita. Nimemchunguza mpaka nimemjua kumbe ni mume wa mama yangu mdogo. Mimi sijawahi kwenda...
  2. NDANGA

    JamiiForums Tanzania Wananchi waandaliwe Kisaikolojia kuyapokea Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015

    Sasa wa zenji zipi nao wanaandaliwa kisaikolojia saa ngapi?
  3. NDANGA

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya Uchaguzi, Kabendera wa CHAUMMA yuko live Star TV

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo, Eugine Kabendera kwa tiketi ya Chama Cha Ukombozi wa UMMA (CHAUMA) anazungumza Ster TV muda huu, anasisitiza kuwa NEC itende haki kwenye matokeo ya ngazi zote za Ubunge, Udiwani na Urais kwamaana amani ni tunda la roho. Anaomba watu mliopo Dar mumchague ili...
  4. NDANGA

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Mutungi, atambulisha kampeni ya Amani kuelekea uchaguzi Mkuu

    Asante mwanangu kwa kutuletea live updates.
  5. NDANGA

    JamiiForums Tanzania Wajue wezi wanaoiba kimya kimya wasioguswa na sheria!

    Umesema ukweli..
  6. NDANGA

    JamiiForums Tanzania Mgombea Ubunge wa CHAUMA kuzungumza na waandishi wa habari

    Kuna mkutano na waandishi wa habari leo 5.10. 2015 asubuhi katika Hoteli ya White Mark, iko nyuma ya Ubungo Plaza Dar es Salaam. Kabendera wa Chama Cha CHAUMA, ambaye ni mgombea ubunge katika Jimbo la Ubungo, atazungumza na waandishi wa habari.
  7. NDANGA

    JamiiForums Tanzania TANAPA: Vifo vya Nyumbu Mto Mara ni Jambo la Kawaida

    TANAPA wamechelewa kukanusha hii taarifa wenzetu wametuchafua muda mrefu sana. Asante Kaka Dotto Kwa taarifa.
  8. NDANGA

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu shule ya Msingi Mtunguja afariki dunia kwa madai ya kupigwa na watoto wake wawili

    Niko hapa Hospitali ya Wilaya ya Same, naona watu wanamiminika kwa wingi baada ya Mwalimu, Ntarishwa Samweli Vianga (63), kufariki dunia jana kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kupigwa na watoto wake wawili waliotajwa kwa majina ya Kachuchu (27) na Kitoi (22). Huyu ni Mwalimu mwenzetu alikuwa ni...
  9. NDANGA

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya katika eneo la King'ori Mkoani Arusha

    Kuna watu hapa Jukwaani wanashikiliwa mawazo na wenzao, nani kasema Mwanga hakuna eneo linaloitwa King'ori?
  10. NDANGA

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday bestito Dotto Mnzava

    Hi!naombeni mnisaidie kumtakia maisha marefu huyu rafiki yetu anayeingia JF bila kumkejeli mtu, nafikiri na Usabato unamfanya awe wa namna hii ndugu Ntuzu, Ell79, miss chagga, Watu8, Kaka Jambazi, tinna cute, Mrs riziki, Kidume, William Mshumbusi, Pasco, Salary Slip na wengineo njooni tumtakieni...
  11. NDANGA

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wageni mnaotegemea kushukia kwenye nyumba ya kulala wageni ya Lyamungo Lodge-Morogoro

    Fikiria kama ingekuwa ni ww unazosimu zako umeibiwa na unapewa majibu kama haya utajisikiaje? Alafu maelezo yako na kilichoandika na huyu mleta mada mbona ni vitu viwili tofauti? Ssa ulitaka na simu zake za mkononi akaweke mapokezi? fulushhhhhhh
  12. NDANGA

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wageni mnaotegemea kushukia kwenye nyumba ya kulala wageni ya Lyamungo Lodge-Morogoro

    Asante watu kama ninyi ndio mnaotakiwa, hiki kilodge nakifahamu ni kizuri sema tu hakina uzio, mshauri jamaa ako akomae nao huyu mmiliki wa hii lodge ni Mchaga..itakuwa.............
  13. NDANGA

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio waliofilisi rasilimali za Same

    Hizi siasa ni mbaya sana bandugu.
  14. NDANGA

    JamiiForums Tanzania ITV wanachukua updates za Bunge kutoka JamiiForums

    Mkuu sio kuwa nawatetea waleta mada hizi, ila ukiingia kwenye hunsard za bunge huwezi kuona mtiririko wa hayo maneno, ingia hata mda huu uangalie. Pia wenzetu wakileta mada hapa watasema chanzo ni sehemu flani sasa kwanini ITV wasiwe wanawacredit kama mapengo alivyolalamika?
  15. NDANGA

    JamiiForums Tanzania ITV wanachukua updates za Bunge kutoka JamiiForums

    Kuna mleta mada siku moja alieleza mambo kama haya. Ni wakati wa vijana wa Mengi sasa kubadilika kwamaana teknolojia imekuwa na huyo aliyekuwa anaweka updates za Bunge ITV ajifunze kuumiza kichwa sio kuja huku kwetu na kujichotea kiulaini.
Back
Top Bottom