Tathmini ya Uchaguzi, Kabendera wa CHAUMMA yuko live Star TV

Tathmini ya Uchaguzi, Kabendera wa CHAUMMA yuko live Star TV

NDANGA

Member
Joined
May 19, 2014
Posts
53
Reaction score
27
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo, Eugine Kabendera kwa tiketi ya Chama Cha Ukombozi wa UMMA (CHAUMA) anazungumza Ster TV muda huu, anasisitiza kuwa NEC itende haki kwenye matokeo ya ngazi zote za Ubunge, Udiwani na Urais kwamaana amani ni tunda la roho.

Anaomba watu mliopo Dar mumchague ili awe mbunge wa Ubungo.
 
Back
Top Bottom