Recent content by Ndallo

  1. Ndallo

    JamiiForums Tanzania Kwa albam hii, Ali Kiba ndio king kweli wa bongo fleva

  2. Ndallo

    JamiiForums Tanzania Sadala (Diamond) ka-copy tena jamani

    Kijana wetu kuna page imempasua kwa kujikweza utajiri kumbe anapiga saa fake , Be humble, haya ndio mambo yanachangia Mpaka kushabikia madikteta ili ku maintain maisha ya juu kumbe unaweza kuishi kawaida na watu bado wakakuheshimu
  3. Ndallo

    JamiiForums Tanzania AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

    Unauza Karanga halafu unataka Forbes wakutambue kuwa wewe ni tajiri[emoji2]
  4. Ndallo

    JamiiForums Tanzania Dili la Diamond Platinumz na Warmer Music Group ni dhahiri kuwa big thing is coming

    Ni Warmer au Warner
  5. Ndallo

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

    Nina Swali la kumuuliza Job: “Condom inatumiwa baada ya mimba kuingia?” Hizo taratibu zake anazitunga baada ya miezi 6, mimba ni pevu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni mambo ya KITOTO!
  6. Ndallo

    JamiiForums Tanzania Bill & Melinda Gates watalikiana

    Hatukawii kusikia Bill anatarajiwa kuolewa na mwanaume mwenzake, maana hawa watu hawashindwi[emoji40]
  7. Ndallo

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM oneni aibu basi

    Ngoma inapigwa MTANDAONI, wapangaji wa mjengoni wana DEMKA[emoji3]
  8. Ndallo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Harmonize kwa sasa ana hali mbaya kifedha, mpaka nyumba ya Mbezi Beach amehama

    Huku ndio KUDEMKA[emoji40]
  9. Ndallo

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanaodemka hawajui machungu ya kutafuta kura

    Wameambiwa waache kudemka... kisha kwa wingi wao wakainuka kudemka![emoji40]
  10. Ndallo

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Wilayani Hai ni mkakati maalum

    Hapo mwisho ungemalizia kwa kusema Mimi Inzi wa Kijani kutoka Hai[emoji40]
  11. Ndallo

    JamiiForums Tanzania Makonda ameipigia Saluti maiti ya Hayati Magufuli bila sare kama nani?

    Salute unatakiwa ufunge dole Gumba Huyu alishapitia hata Mgambo kweli[emoji40]
  12. Ndallo

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Afande Sele akimlilia Hayati Magufuli

    Bangi sio Tembele[emoji40]
  13. Ndallo

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Afande Sele akimlilia Hayati Magufuli

    Mimi ni msanii (mimi ni msanii) Kioo cha jamii (kioo cha jamii) Mimi naona mbali (mimi naona mbali) Kwa darubini kali (kwa darubini kali)
  14. Ndallo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Back
Top Bottom