Recent content by Ndakie

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wajuzi kwenye biashara ya mazao

    Kuhusu soko la kahama ni sehemu gani hasa ambapo wananunua hizi karanga, soko kuu au? Maana mimi pande za ushirombo hivyo nataka kwenda kulicheki soko then nifate mzigo.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wajuzi kwenye biashara ya mazao

    Samahani ndg, kwa kahama soko la karanga lipo sehemu gani? Au kuna agent ambaye ananunua maana mimi nipo ushirombo.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kibiashara kwa zao la muhogo kati ya Tanzania na China

    Ndg yangu napenda kukujuza kuwa nimefanya kila namna mpaka kwenda TIC, nimepewa mawasiliano ya awa jamaa ambao ni country representer wa kampuni ya mihogo ya canton investment. Nimeongea nao canton wanasema bado hawajaanza kununua muhogo na wakianza inabidi tuchakate mwenyewe kwanza then ndio...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kibiashara kwa zao la muhogo kati ya Tanzania na China

    Habari. Mwaka jana tuliingia mkataba wa kibiashara na nchi ya china, kuuza muhogo katika soko la china. Naomba mwenye kujua zaidi ni namna gani tunalifikia soko hilo au je kuna wakala hapa Tanzania maana hii ni fursa nzuri kwetu vijana na taifa kwa ujumla.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    OP magufuli whatupp grup add afande huyu 0754 254479
  6. N

    JamiiForums Tanzania PICHA: Matapeli wa kuuza viwanja, mashamba Bagamoyo watiwa mbaroni

    Ongera afande john kisusi kwa kuja na strategic plan mpya katika mji wetu wa mapinga, bagamoyo maana ujambazi wa viwanja ulikuwa umezidi.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nina degree ya uchumi na fedha, natafuta kazi au internship

    kaka huku mtaani nita apply sawa lakini mtaji sasa ndio shida.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nina degree ya uchumi na fedha, natafuta kazi au internship

    Habari ndugu zangu, Ninaomba msaada wa kupata kazi au internship sehemu yoyote hapa Tanzania. Nina degree ya uchumi na fedha. Pia nina certificate ya micro computer applications. Nina uzoefu wa miaka 2 katika kazi na nina nidhamu nzuri na siku zote ni mtu wa kufanya kazi kwa bidii. Mawasiliano...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    admin add na mimi 0754254479
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    wakongwe wa jakata ebu tunaomba mtujuze kuhusiana na 834 KJ. kijana wenu tayari nimeshafunga buti nasubiri amri ya afandeee kuingia kikosini.
Back
Top Bottom