Recent content by Ndaga

  1. N

    Mchoraji wa picha hii ya Raisi Samia Suluhu Hassan apewe alama ngapi?

    100% Excellent! Tupe number yake, tumpe kazi huyu kijana. Ndaga
  2. N

    Rais wetu Samia acha hotuba za kujitetea juu ya jinsia yako, wewe ni Rais siyo Rais mwanamke

    Kwani SSH anaendeleaa Kuzaa, si kashafikia ukomo, over 45! jamani.
  3. N

    Rais wetu Samia acha hotuba za kujitetea juu ya jinsia yako, wewe ni Rais siyo Rais mwanamke

    Safi Kabisa ! Yeye achape kazi na ataproof wrong at the end of her tenure. Hii anayoisemasema anajishusha mwenyewe. SSH, My President ikiwa utapitia hapa leo, Tafadhali usirudie zile kauli za kujishusha na kujilinganisha, Fanya kazi na Kazi itakuinua yenyewe. Ndaga lelo, Kyala Nnyaafu.
  4. N

    Tanzia: Mchunaji Morris Cerullo wa Marekani, afariki dunia akiwa na miaka 88

    Naam..Never compromised with prosperity Gospel!
  5. N

    David Kafulila: Natofautiana na Zitto kuhusu ripoti za CAG na mwenendo wa uchumi

    Ameonyesha anasoma! Hapapasipapasi!
  6. N

    Je, ni busara kujenga nyumba kwa milioni 150 kisha kukusanya kodi laki 6 kwa mwezi?

    Ngwanakilala, Nikushukuru mtoa Mada, Uchambuzi mzuri, Kutokuwa na taarifa na uelewa wa nini ufanye na wapi ufanye imeathiri wengi, Nina imani hii tafakuri uliyoianzisha itatuletea wabobezi wa mambo ya Business Planning, Finance Management na Risk management ili angalau watu wajue akiwa na mtaji...
  7. N

    Je, wajua sababu ya wazungu wa Afrika Kusini kupewa mashamba Tanzania?

    Naam, Ni kweli maana Fredrick De Clerk ni kati ya wanafunzi waliosoma Iyunga Secondary School ( Zamani), ambayo ilikuwa shule pekee ambayo watoto wa Kizungu kabla ya Uhuru walisoma pale, Ukiangalia na miundombinu iliyokuwepo pale shuleni utaona upekee wake...
  8. N

    Eti usipotoa fungu la 10 ni mwizi? Why?

    (Hes.18:25-26) …Ni Amri kwa Walawi (Watumishi wa Madhabahu au Kanisani) kwamba …Zaka watakayopokea toka kwa waumini wao nao..watoe Zaka yake….
  9. N

    Eti usipotoa fungu la 10 ni mwizi? Why?

    Mlawi kwa sasa ni wale wanaotumika Kanisani, ukichukulia hawana kazi nyingine ya kufanya zaidi ya kutumika Kanisani, hao wanastahili wote kupewa sadaka ya ZAKA..
  10. N

    Eti usipotoa fungu la 10 ni mwizi? Why?

    Siyo feki ila anayehubiri anaweza kuwa feki usijumuishe hivyo, Utakuwa unakwenda kinyume na Biblia, Sema kuna Makanjanja wa Neno la Mungu, hao wasituondolee ukweli wa Maandiko..
Back
Top Bottom