Recent content by Ndachuwa

  1. Ndachuwa

    Kipi bora kati ya kuajiriwa na kujiajiri?

    Vyote ni bora. Unaajiriwa unaweka akiba ambayo utatumia kama mtaji kujiajiri.
  2. Ndachuwa

    I have nowhere to report Uber theft, harassment, fake trip transport fees

    Kwenye huohuo mtandao wa UBER kuna complaint button ukiripoti UBER watafanyia kazi na kupata refund utakayotumia Kwenye usafiri wa UBER
  3. Ndachuwa

    Ushauri: Kuna mwanaume nimempenda ila nina mpenzi ambae yupo nje ya nchi kikazi

    Sasa akikutumia akapita HIVI si ahueni kwako maana wa ukweli yuko majuu?
  4. Ndachuwa

    Ushuhuda: Mchemsho niliokunywa, haikupita nusu saa nikawa fresh mpaka nikawa naona furaha ya kupumua

    Mleta mada kasema anasubiria kuumwa tena baada ya kutumia juice ya limao, pilipili, tangawizi na vitunguu
  5. Ndachuwa

    Ushuhuda: Mchemsho niliokunywa, haikupita nusu saa nikawa fresh mpaka nikawa naona furaha ya kupumua

    Kwa maelezo yako hizi dawa za kienyeji zinavubaza hazitibu?
  6. Ndachuwa

    Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

    chagu wa malunde hata waliotafiti na kuja na COVIDOL na NIMRCAF ni watumishi wa umma nao wanatakiwa wawajibishwe kwa kuaminisha umma kuwa Juice ya pilipili, malimao, vitunguu na tangawizi inatibu CORONA
  7. Ndachuwa

    Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

    Punguzeni vitimbi na chukulia msiba wa mwenzio kama vile ungeombeleza ukifikwa na msiba wa mtu wako wa karibu.
  8. Ndachuwa

    #COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Ushauri wangu vipimo vinunuliwe kila kata kuwepo kituo cha kupima maambukizi ili kila mwenye maambukizi ajifahamu mapema awezi kuanza matibabu mapema na kujitenga na ndugu, jamaa na marafki ili kuwalinda. Tunapoacha wenye maambukizi wabaki nayo mpaka wanazidiwa kabisa kwanza wanakuwa kwenye...
  9. Ndachuwa

    TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

    Kwa mtazamo wangu, watoto walioko Boarding wako salama zaidi na wazazi wao wako salama tofauti na watoto wakirudi nyumbani kuwathibiti wasijichanganye na kuleta maambuki ni ngumu sana
  10. Ndachuwa

    Chombezo: Bao tatu za mgeni!

    Mwendelezo?
  11. Ndachuwa

    Mfanyakazi wa Stationery anahitajika

    Baba kasomesha mpaka Form IV, akampeleka na kozi ya computer wewe unataka kumlipa kama mfanyakazi wa ndani?
  12. Ndachuwa

    Nimerudi nimekuta Jirani yangu (Mke wa mtu) kanifulia nguo

    Mchukulie huyo mama kama dada yako wa kuzaliwa, mumewe kama shemeji yako na watoto wake kama wajomba zako; hutapata shida tena ya kujiuliza maswali ya kishetani
  13. Ndachuwa

    Kipi unatakiwa ufanye endapo mkeo akikunyima unyumba?

    Mjie usiku mnene na mhuduma wa bar na umwombe awapishe chumbani
  14. Ndachuwa

    Mzigo wa NIMR ni kiboko

    Haya vijana mmepata mbadala wa VIAGRA, hamtafia tena Guest kwa kuzidiwa na VIAGRA
  15. Ndachuwa

    Kama sio tajiri na huna asset, kusomesha watoto shule za gharama ni ujinga unaongeza umaskini kwenye ukoo

    Mimi nilisoma shule ya Serikali miaka ile ya utawala kipindi cha kwanza cha Mwinyi. Kipindi kile, shule bora kabisa zilikuwa ni za Serikali na Seminari. Shule binafsi zilizoitwa za Wazazi hazikuwa zinafaulisha. Shule niliyosoma ilikuwa na mikondo minne ya watoto 45 kila darasa. Leo hali ikoje...
Back
Top Bottom