Recent content by ndababoy

  1. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza aivaa Serikali, asema tulipokubali kuingia mfumo wa vyama vingi tulikubali kupingana kwa hoja

    Kwa nini hampendi watu wanaosema ukweli ?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mangula, Nape kukinukisha Songea Mjini kwenye kampeni za uchaguzi mdogo

    Huna mshindani kampeni za nini
  3. N

    JamiiForums Tanzania Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

    Acheni upotoshaji soud hajaenda hospital kupiga hiyo picha faiza na bangi zake ndo kaipost wa kwanza kwenye mitandao hata snura alipomsema kwa kitendo hicho kamtolea povu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ni udhaifu mkubwa sana Man Utd kupaki basi dakika 80 nzima.

    Washakujibu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa kike wa GGM ashikiliwa na Polisi kwa kumvisha Pete Mwanamke mwenzake

    Aliyevalishwa Pete hakuna anaetaja wala kuandika jina lake maana nasikia ni mdogo wa naibu waziri.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Makamanda nguvu zimewaishia kabisa

    Nasoma kwa masikitiko sipendi na sitaki kuona maiti haijalishi ni chadema ,ccm, cuf au yeyote, sipendi wala sitaki kuona uonevu haijalishi anafanyiwa nani ,naogopa na kuchukia mateso wanayopewa watu haijalishi anafanyiwa mtu wa chama gani. Ushabiki wetu kwa mambo ya ajabu haya utatupeleka...
  7. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike

    Paskali mi nakubaliana nawe kwa hoja nyingi ila chache nitakataa, nianze na za kukataa, 1. Kama chama hakijatengeneza succession plan ni kazi ngumu kutengeneza mazingira ya kuachiana uongozi, yes nakubaliana nawe kwamba mfano hata kama mbowe ni mzuri wa fikra kuliko malaika lazima aondoke aje...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kubali au kataa lakini page ya Mange Kimambi ya instagram ndio talk of the town kwa sasa

    Mtu akijibizana na mtu fyatu nadhani si jambo jema sana
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    Siasa sio kazi ya Saloon au kinondoni makaburini na kwingineko hawezi siasa huyu
  10. N

    JamiiForums Tanzania CCM yasema haina taarifa ya kurudi kwa Wema Sepetu

    Wema ni mjinga na siasa haziwezi siasa hasa za Tanzanian ni pasua kichwa analeta usista duh kwenye siasa
Back
Top Bottom