Ni udhaifu mkubwa sana Man Utd kupaki basi dakika 80 nzima.

Hope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Ivi niwaulize mashabiki wa Man U mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Tulia ww mpira usio na magili hauna tafaut na balubu isiowaka
 
Hope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Ivi niwaulize mashabiki wa Man U mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Mkuu...NADHANI ULIKUWA HUJUI MACHUNGU YA MOU KUPAKI BASI...ULIKUWA UNASIKIA BARCA WANALALAMIKA SASA LEO IMEKUKUTA. HII MBINU INA MACHUNGU SANAAAAA, UNAWEZA UKAPIGA TEKE TV...poleeee.
 
Arsenal wana mpira mkubwa sana na wa hadhi kubwa sana. Ni mpira unaovutia na magoli yake ni ya UHAKIKA

Man u wanacheza mpira wa kubahatisha bahatisha tu. Wanakimbia kimbia tu na wanafunga magoli ya kubahatisha yaliyo ya counter attack tu.

NI AIBU KUBWA KWAKWELI
 
Kwa vyoyote vile arsenal ilitakiwa ife Kwa sababu mbinu zilizo tumika kwenye mechi hiyo wasinge ziweza pale ilitumika Shule tupu
 
Hope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Ivi niwaulize mashabiki wa Man U mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Washabiki wa Man U hawajawahi kuufurahia mpira zaidi ya magoli ya kubahatisha tu.

Ni timu ambayo hata kumiliki mpira haiwezi.
 
Hope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Ivi niwaulize mashabiki wa Man U mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Umeahindwa kuwa hata kocha wa mapumbu fc utamshaur nn morihno,mbinu zinazoleta usindi ndo za zamsingi hayo yako peleka choon.kakojoe kalale
 
Acha ushamba arsenal wanachezea mpira man united wanacheza mpira hiyo ndo tofauti
Man U pamoja na usajili wa pesa nyiiingi bado ni timu ya hovyo hovyo inayofunga magoli ya kulazimisha sana na kubahatisha.

Haiwezekani mchezewe kama watoto.

Ni Aibu kubwa kwakweli.
 
Sasa tatizo liko wapi kama kashinda goli tatu, ingekiwa kafungwa kweli ingeleta mantiki.
 
Unaenda kurina asali na nyumba haujafunga?Huo ni ujinga. Unafunga mlango kwanza halafu unaenda kupakua asali porini. Saaafiiii!
 
MJOMBA MKUDE shujaa bwana,,KAKIMBIZWA na SIMBA toka PORINI kaja KULIWA NYUMBANI kwake,, MKUDE kidume bwana
 
Back
Top Bottom