WAKIMALIZA KUHAKIKI WATAWAFUKUZA WALIOFOJI VYETI HALAFU WATAWAAJIRI WENYE WANA CHOCHOTE MFUKONI.....SASA TUNAFANYA NINI.....BORA WASIHAKIKI TU TUENDE IVOIVO KWANZA WASHAKULA
MASIKINI SHAMBA NDYO HATMA YAKO HAKUNA JIPYA MI MWENYEWE NIMEONA NIFANYE KILIMO AJIRA NI STRESS NCHI HII NA KAMA HAUNA KITU NDYO MAUMIVU MAKALI...............
lazma kutafuta management nzuri ndyo vijana mnaweza kuungana ila tatizo kubwa ni kukosa imani na tunachokifanya....vitu vya kufanya vipo vingi sana.....sema tatizo ni kutegemea ajira na ajira zenyewe unapata kwa muhindi..........atakunyonya tu kwa kuwa ajira zenyewe ni ngumu na lazma ukubali...
uwekezaji bado ni shida kwa watz walalahoi labda mfumo wa kodi uangalie hao watu wa chini namna gani ya kuwasaidia,tunajua fursa ni nyingi lakini mpaka uifanikishe hiyo fursa uliyoiona tayari mwili mzima una mijasho mwili mzima labda tushikamane vijana tufanye research tujue namna gani tunaweza...
pia kwa watz imekuwa rahisi sana kusalitiana kwa mambo mengi sana ndyo maana vitu vingi sana ni rahisi kuyumba......mifano ipo wahindi wengi kariakoo huwafanyisha kazi nyingi sana watanzania na kuwalipa kidogo na watz tulivyo wavumilivu tunakaza kwa kuwa ndyo tunakotafutia mitaji yetu ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.