Recent content by Nchimbi J

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kada Maarufu wa CHADEMA Mtaa wa Sahara, Jijini Mwanza Aapa Kufa na Wasaliti wa CHADEMA

    Sema kijana wa kichaga shirima .......ili watu wajue why
  2. N

    JamiiForums Tanzania CCM wamejipanga kwenye mitandao ya kijamii

    Walizoea kujibizana wenyewe kwenye mitandao wakajua ccm hakuna vijana wa dot com........kumbe average ccm ni wengi Mara mbili ya wabeba mabox wa chadema ulaya sema wako reserved and composed
  3. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA 'wadanganya': Mh. Lissu atofautiana na 'uongozi' wa CHADEMA Singida.

    Chadema mmemkaimisha Lyimo singida ambaye kwa jina Hilo maana yake ni mchaga mwenzenu!!!!!!!!kweli home boy
  4. N

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa MWANDIGA kumpinga Dr.Slaa yafanyika mbele ya RPC

    Anapima rueful wa maji kwa mkono...hajui hata principle za conflicts resolution kuwa unangojea munkali upoe ndio angeenda kigoma....hapa mjue zitto bado hajaenda kuongea na wananchi wake
  5. N

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya kifisadi ya Dr. Slaa kwenye ziara ya mkoa wa Kigoma, Singida, Tabora na Shinyanga

    No no no CDMA ni wabadhirifu lakini hizi pesa ni ndogo sana kuziongelea kwa ziara ndefu kama hio ya kumchafua zitto
  6. N

    JamiiForums Tanzania Fukuzafukuza ndani ya CHADEMA inasimamiwa na Mungu

    Hawezi kuwa Mungu naemuamini Mimi atakuwa ni miungu ya kichaga hio
  7. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, tunataka kujua fedha zetu za ruzuku zinavyotumika

    Sijaelewa jambo moja, zitto kakutwa na kosa akavuliwa uongozi sasa ni kosa lilelile lililopelekea avuliwe uongozi ndio linatakiwa sasa ajieleze kwa kuvuliwa uanachama au ni jipya...naona Kama adhabu mbili kwa kosa moja moja au kwa nini hawakumvua uanachama Kama walivyofanya kwa unaibu katibu...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mipango hatari ya Mwigulu na Emmanuel Nchimbi dhidi ya CHADEMA,wahusika toeni ufafanuzi kuhusu hili

    Sio kila ujinga unajibiwa....
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mipango hatari ya Mwigulu na Emmanuel Nchimbi dhidi ya CHADEMA,wahusika toeni ufafanuzi kuhusu hili

    Ni hatari sana sana kwa viongozi hasa wa kizazi kipya Kama saanane kutoa email na kusambaza kana kwamba ni za kweli. Siasa sio kudanganya ili kupata watu wa kukuunga mkono. Na wasomaji wanapaswa kuwa very critical na sio kuchukua kila ujinga unaosemwa na watu hapa. Ni jambo la ajabu sana eti...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mtela Mwampamba,Habib Mchange na Nyakarungu waratibu mkutano wa waandishi wa Habari Serena Hotel

    Husiwe na shaka kabisa kwa Kuwa hizi ni email za kutengezeza mezani kwa saanane....ndio Kazi ya vIongozi wa chadema
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hili ni Darasa Huru kabisa kwa CHADEMA hasa kamati kuu

    Ni nzuri wakiendelea kupigana hivi....fukuzaneni sana ndio mafanikio
  12. N

    JamiiForums Tanzania Polisi wa TZ wanasingizia makosa kulazimisha rushwa

    Kumbe wewe ni polisi basi si kosa lako kuandika ujinga hapa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Polisi wa TZ wanasingizia makosa kulazimisha rushwa

    Polisi hata baba yake mzazi anaweza mdai rushwa ni hatari kuliko ukoma lo
  14. N

    JamiiForums Tanzania Polisi wa TZ wanasingizia makosa kulazimisha rushwa

    Hapana natii sheria lakini hio sehemu ambayo wanasema nilionekana ni kwamba hata sikufika huko..nimetoka dar nikageuzia sehemu ya kwa Mathias na wao wanadai kuniona miembe saba ambako sikufika
Back
Top Bottom