Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,699
- 164,979
Ujasiri wa viongozi wa CHADEMA katika ngazi zote si bure bali ni makusudio ya mwenyezi Mungu ili ukombozi wa mtanzania utimie kupitia CHADEMA.
Mimi naamini CCM wako nyuma ya wasaliti wote hawa kwa lengo la kutaka kuisambaratisha CHADEMA ila watambue CHADEMA ni chama teule kutoka kwa mwenyezi mungu.
Kama jinsi Mungu alivyotumia mitume wake kuokoa wanadamu ndivyo hivyo atakavyokitumia CHADEMA kuwaokoa watanzania.
Kwa nguvu za mwenyezi mungu hata pesa haitafua dafu katika vita hii.