Changamoto hakuna proof yoyote yenye mantiki ya kuthibitisha kama Mungu yupo, na ukisema Mungu hayupo, unawaza Tena chanzo uhai ni nini au hizo terrestrial bodies zilianzajeanzaje.
Kuna kitabu fulani Cha cathocism, kina maswali mengi na majibu yake. Moja ya swali linahusu kuthibitisha kama...
Kuhusu Dunia au other heavenly bodies in the universe kuzunguka bila kugongana, umejuaje kama hazijawahi kugongana hapo kabla??
Inawezekana hizo bodies ziligongana sana hapo mwanzo, Hadi ikafika kipindi Bodies zote Zika obey kanuni Fulani ambayo ilikuwa strong.
Pia hadithi za biblia kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.