Recent content by nchelegwanzingi

  1. nchelegwanzingi

    JamiiForums Tanzania Waisrael wamchoma moto kichanga wa kipalestina

    Black Jews njoo huku,
  2. nchelegwanzingi

    JamiiForums Tanzania Lowassa arudisha Fomu ya kugombea Urais Kupitia UKAWA, leo tarehe 1 Agosti, 2015

    Hoja zimekwisha mmebaki na maneno ya vijiweni,
  3. nchelegwanzingi

    JamiiForums Tanzania Lowassa arudisha Fomu ya kugombea Urais Kupitia UKAWA, leo tarehe 1 Agosti, 2015

    Hivi mnadhani Watanzania ni mbumbumbu kama nyumbu wa ufipa? Watu wote hapa hawajaona hiyo sayansi yako ila bavicha wewe tu,?
  4. nchelegwanzingi

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Usijali bado anatafuta dodoki na jik aje kumsafisha aliekuwa amkimchafua
  5. nchelegwanzingi

    JamiiForums Tanzania Lowassa arudisha Fomu ya kugombea Urais Kupitia UKAWA, leo tarehe 1 Agosti, 2015

    Hata kuhoji hawataki, hao wanachama walimdhamini lini na wapi? Kama wadhamini walimdhamini CCM sio chadema, na walikuwa laki 8 hebu jifunzeni hata kuhoji tu nyinyi bavicha
  6. nchelegwanzingi

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo umeimbwa na nani na unaitwaje?

    Ooh kumbe hiyo kaimba nyota waziri na mumewe kilimanjaro band
  7. nchelegwanzingi

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo umeimbwa na nani na unaitwaje?

    Hafsa kazinja
  8. nchelegwanzingi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakamatwa na mashine ya BVR wakiandikisha watu usiku

    Japo kuwa siwapendi chadema na kura yangu siwezi kuwapa Hata siku moja, Lakini nina mashaka na hii habari au movie hii maana ccm nao ni majambazi wanafiki wanaoweza kutengeneza lolote kuaminisha watu, hii habari haina kabisa uhalisia ni njia tu ya kutunga, watu 5 wameshaandikishwa walikuwa...
  9. nchelegwanzingi

    JamiiForums Tanzania Android os lollipop v5.0.2

    Kuna mwenye link please ili tuweze ku update moja kwa moja?
  10. nchelegwanzingi

    JamiiForums Tanzania Waziri Adam Malima atoboa siri Bungeni kuhusu Zitto Kabwe kuwa kibaraka wa CCM

    Naiona ccm onavyoshinda kwa kishindo October bila Hata tabu, hakuna upinzani nchi nzima kuna wafata upepo na wataka pesa tu
  11. nchelegwanzingi

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa UKAWA wagomea Miswada ya Petroli na Gesi, Bunge laahirishwa ghafla

    Wanafiki wakubwa hao, wanajifanya wana uchungu kumbe unafiki wao tu mbona zile m238 hawajagoma? Wanawaburuza wajinga wenzao tu
  12. nchelegwanzingi

    JamiiForums Tanzania Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

    warumi kuja hapa na nifah mpitie mambo yenu yako huku
  13. nchelegwanzingi

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Watanzania msichague Rais mwizi hata kama anatoka ndani ya CCM

    Hebu nipishe hapa wewe mtumwa, wapi nimeandika English mimi? Unadhani mimi limbukeni kushobokea lugha ya mkoloni kama wewe kilaza?
  14. nchelegwanzingi

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Watanzania msichague Rais mwizi hata kama anatoka ndani ya CCM

    Mimi mwenyewe mluguru wa matombo, ukiniandikia hiyo lugha labda nikatafute dictionary, kiswahili lugha ya Taifa chakushinda itakuwa lugha ya mkoloni?
  15. nchelegwanzingi

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Watanzania msichague Rais mwizi hata kama anatoka ndani ya CCM

    Laisi ndio mbunge wa wapi? Sijaelewa
Back
Top Bottom