Recent content by nchachu

  1. nchachu

    JamiiForums Tanzania Kukataliwa kibali wakati uliqualify usaili

    Ilishatokea kwa rafiki yangu akaenda utumishi moja kwa moja na akafanikiwa kuhama Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  2. nchachu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dawa za mapenzi zipo kweli

    Tunavijana wa hovyo sana nchi hii Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  3. nchachu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amebadilika siku chache kabla ya mahari

    Pole sana au ulikuwa single mother ukamfcha mwenzio? Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  4. nchachu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfumania Mchepuko wangu usiku huu anajichua

    Hiii nchi ina vijana wa ovyo sana Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  5. nchachu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii pisi mazee ni hatari

    Ninafanya nae kazi ofisi moja mkuu ila nishamzoea Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  6. nchachu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ameniacha njiapanda

    Haukuwepo kwenye kikao chetu wanaume tulikubaliana hakuna kushika simu ya mwanamke wako na yeye asishike yako Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  7. nchachu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

    Baraka apa Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  8. nchachu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

    Uke wenza kazi sana kiukweli nakushauri tulia tu utapata mwanaume wako wa kukuoa
  9. nchachu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri huu kuhusu Ndoa umeniamsha kutoka kwenye usingizi mzito

    Mzee alikuwa na busara sana Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  10. nchachu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua mapenzi hayanitaki, ngoja nifanye mambo mengine tu

    Pole sana pambana kulea watoto achana na mambo ya kuolewa hakuna mwanaume mwenye akili timamu ataoa mwanamke mwenye watoto watatu kwani atakuwa kabeba mzigo mkubwa sana ambao haumuhusu ndo maana ameamua kujiengua mapema tu Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  11. nchachu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Friends karibuni sana kwa sherehe kesho!

    Naona unaandaa mtego wa kimasihara Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  12. nchachu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ni fumbo kubwa, unawezaje kuishi mitihani?

    Mkuu unastory nzuri ila unatukata stimu sana embu kaa andika kwa kirefu Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  13. nchachu

    JamiiForums Tanzania Kikokotoo(Mafao): Rais Samia anastahili pongezi kwa hili

    Iyo asilimia 67 utalipwa kila mwisho wa mwezi na ikitokea umekata moto familia yako italipwa iyo hela ya mwezi kwa muda wa miaka mitatu tu baada ya hapo hawatakuwa na chao tena Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  14. nchachu

    JamiiForums Tanzania Kwanini CWT inatesa Waalimu na kuiba fedha zao kila uchao?

    Soma waraka huo utakusaidia Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  15. nchachu

    JamiiForums Tanzania Kwanini CWT inatesa Waalimu na kuiba fedha zao kila uchao?

    Mtumishi ana haki ya kujiunga na chama chochote cha wafanyakazi kwa hiari yake bila kushurutishwa hivyo ni haki yako ya msingi kuchagua kati ya Cwt au chakamwata na unapaswa kukatwa mara moja tu na sio mara mbili Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom