Recent content by Nazjaz

  1. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Sheikh : Kwa Imani yetu Kuoa Jini ni njia ya kupata Thawabu

    "Abdul kamzalisha mke wa Zitto Kabwe, Halima Bulembo….. Sasa ni hivi, Halima Bulembo alianza kutembea na Abdul about 2 years ago. Mwanamke akaanza ku-push ndoa kwa Abdul muuaji. Abdul akamwambia siwezi kukuoa wewe ni mke wa mtu, binti acha aanze kudai talaka Kwa Zitto, yani alitaka hata...
  2. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Sheikh : Kwa Imani yetu Kuoa Jini ni njia ya kupata Thawabu

    Unaoa jini, usiku hilo jini linakuitia kaka zake, wanakuduu hadi unaanza kuomba msaada kwa dudubaya
  3. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Slobodan Milošević (aliyekuwa Rais wa Serbia na Yugoslavia) na mke wake, Mirjana "Mira" Marković. Wapenzi wa kuanzia chekechea,shule, chuo

    Slobodan Milošević na mkewe Mirjana "Mira" Marković hawakusoma wote elimu ya awali (chekechea au shule ya msingi), bali walikutana na kuanza kusoma pamoja walipokuwa masomoni shule ya sekondari. Maelezo ya Historia Yao ya Elimu: Shule ya Sekondari (High School): Wawili hawa walikutana kwa mara...
  4. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania 'Tunafikiri bunduki ndiyo inaweza kulinda amani' – Warioba

    MamaSamia2025 anajidanganya
  5. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Mkimbize Mzee Warioba London achekiwe, thoroughly checkup ya afya yake. Achana na hospital za hapa watamfuata huko wahuni

    Wakimpeleka Mzena baaass kimama atatoa amri auawe
  6. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askari Godfrey Mahundi afariki dunia

    Mwacha ateswe tu motoni
  7. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Mimba imenifanya nichukie kuoga

    Beba wee kama unadhani ni rahisi
  8. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Mimba imenifanya nichukie kuoga

    Inakuhusu nini?
  9. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Mimba imenifanya nichukie kuoga

    Asante
  10. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askari Godfrey Mahundi afariki dunia

    Habari ndugu, jamaa, rafiki na wote kwa ujumla. Tunasikitika kuwatangazia taarifa ya msiba wa ndugu yetu mpendwa, GODFREY MAHUNDI, aliyefariki dunia akiwa Songea usiku wa kuamkia tarehe 5 Septemba. Mazishi yatafanyika tarehe 8 Septemba, siku ya Jumanne. Mungu ametoa na Mungu ametwaa; jina...
  11. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Mimba imenifanya nichukie kuoga

    Pata mimba wewe, ndio ujue mimba si lelemama
  12. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Mimba imenifanya nichukie kuoga

    Tabia inaa za lini?
  13. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Mimba imenifanya nichukie kuoga

    Sijasema kwaamba siogi
  14. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Mimba imenifanya nichukie kuoga

    Yaani naoga basi tu ili iwe mradi. Nimetokea kuyachukia kabisa maji ya kuoga. Ambaye amewahi kukutana na kadhia hii anajulishe alivukaje? Mimba ina wiki 10
  15. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Khalifa Said jina lako linajadiliwa muda huu mezani kwa yule ‘Msabato Asiyejulikana’

    Aliye karibu na mwandishi huyu wa The Chanzo, analiwa timing ili atokomezwe.
Back
Top Bottom