Ilani ni kama propasal ama ushawishi unaobebwa na chama husika but utekelezaji wa ilani ndio mtihani kila kiongozi anakuwa na maono,elements na nature yake alioswitch kwenye ubongo jinsi ya kuongoza kama ulivyoanisha apa juu kwenye chapisho lako huyu alifanya vile na huyu anafanya hivi mfano...
Mimi domo zege ila kvant ndogo na vibia 6 ata aje neyonce wa jigga mbele yangu lazima niteme mistari na cha ajabu madem wengi nliwatongoza nikiwa bwax hawachomoki
Ndugu zangu wa baba mmoja mkiona sipokei Simu zenu au tukikutana mkiona tukikutana mahali nimejitenga sina time na nyie kama nakosea mnisamehe lakini kwangu neno kuu na msimamo ni palepale kwamba"HAPANA NDIO BASI TENA"
Hornet kwa kiswahili ni HONI ni ishara ya tahadhari why ulijiachia ukahisi utakuwa safe my dear kumbuka plz trust no body halaf wengi humu wamakomaa na HIV hawaulizi maybe ulimevaa gono ambalo sio ishu kivile......
Be Strong
Watu wenye akili nyingi kama Da'Vinci @LifeOfCoded @DaudMchambuzi kuonekana hapa ni nadra sana ila wale wa kula tunda kimasihara ndio wamejazana since page #1
Nishachukuwa namba zako tayari vizuri ni kwamba mwezi ujao nna matarajio ya kuja Morogoro lengo kuu ni kuwekeza kwenye ardhi hasa Mashamba so sitotaka yakae bure i hope itanisaidia katika ushauri wa kilimo na mambo mengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.