Kitu kukubalika kwa wingi haimaanishi ni bora, hata kikiwa affordable kinaweza kisiwe bora pia, kipato cha mtanzania in majority Kinamruhusu kuwa na option ya brand nyingine ya magari, uzuri wa kitu unapimwa pale ambapo majority wenye uwezo wa kuwa na option nyingi lakini wakachagua kitu cha...
Kaka niende nje ya swali lako kidogo labda tuongezeane ufahamu kidogo kuhusu uchumu wa America (north america muungano wa USA). Uchumi was America unategemea sana sector binafsi na ndo zimeajiri Sana, zinaexport Sana, na pia mpka zinaushawishi kwenye vyama vyao vikuu vya siasa democrats na...
Iko hivi kamanda, reserve bank of America (benki kuu ya marekani) inaundwa na hizo bank matawi zote za majimbo, ili kukontrol uchumi na thamani ya pesa marekani kuna njia moja wapo wanaitumia ni kuongeza au kupunguza riba, ikitokea riba imeahushwa mana ake watakaoenda kukopa hela bank ni wengi...
Hiyo imepigwa ban na mamlaka za US, sababu nafikiri ni copyright issues, waandishi wengi walilalamika, Kaz zao kusambazwa for free hasa kupitia hii Z RIBRARY
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.