Recent content by Nayaha

  1. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Nyalandu umewakosea nini wamiliki wa gazeti Jamhuri?

    Aise msome vizuri huyo Nyalandu hafai kabisa mafia huyo kama Jamhuri wangekuwa waongo angewachukulia hatua jamaa hafai kabisa.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ubuyu na ukwaju

    Jamani hv ukwaju na ubuyu vina nafasi gani kwenye mwili wa binadamu.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    Hakuna wanazuoni hapo wachumia tumbo tu hao sidhani kama kuna hata kidato cha nne
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na Diamond na Mshindi wa BBA Idris

    Kapewa zawadi na mkuu wa escrow bwana singasinga.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na Diamond na Mshindi wa BBA Idris

    Huyo ndo prof mambo ya maana ziii...... yasiyo fresh jamani laana gani hiii maamuzi magumu 2015
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Paul Makonda na Marcus ndani ya Star TV tuongee asubuhi

    nadhani ushauri wa marcus tuufanyie kazi vijana 15 tusifanye makosa
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Paul Makonda na Marcus ndani ya Star TV tuongee asubuhi

    huyu makonda anaishi dunia gani jamini.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

    huyo kijana c mzima enzi za mwl hafai hata uongozi wa familia yake.
  9. N

    JamiiForums Tanzania UKAWA tunahitaji kusherehekea ushindi uwanja wa taifa - dsm

    Huyo gamba maskio hana na macho pia mfano arusha 2009 mitaa 7 leo mitaa 75 nani mwenye aibu kati ya gamba na ukawa katumwa huyo mpuuzeniiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  10. N

    JamiiForums Tanzania Meya Jiji la Arusha presha inapanda presha inashuka

    hapo hakuna ukatili magamba nayo yaitweje kwa miaka 53.
Back
Top Bottom