UKAWA tunahitaji kusherehekea ushindi uwanja wa taifa - dsm

Wadau kutokana na ushindi munono kabisa tulioupata kwa kuwatokomeza wale wala rushwa, majizi ya mali za umma, wabakaji wa demokrasia, n.k sasa ni wakati muafaka wa kusherehekea ushindi wetu, juhudi tulizofanya ni kubwa mno kwanza kujiandikisha, kupiga kura na kulinda kura zetu usiku kucha bila kuchoka.

Kweli kipofu kaona mwezi.

Hivi mfano Pass mark darasani iliyowekwa na shule kiwango cha chini kikiwa ni 50%, halafu Mtihani wa kwanza UKAWA wakafanya wakapata 0% na CCM wakapata 100% halafu baadaye tena wakafanya mtihani wa pili UKAWA wakapata 5% na CCM wakapata 95% hivi UKAWA ukienda uwanja wa Taifa kusherehekea Ushindi si dunia nzima watakuona mwehu uliyelewa viroba !

Niwashauri tu kafanyieni hizo sherehe UWANJA WA FISI sio Uwanja wa Taifa.
 
Huyo gamba maskio hana na macho pia mfano arusha 2009 mitaa 7 leo mitaa 75 nani mwenye aibu kati ya gamba na ukawa katumwa huyo mpuuzeniiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Kweli kipofu kaona mwezi.

Hivi mfano Pass mark darasani iliyowekwa na shule kiwango cha chini kikiwa ni 50%, halafu Mtihani wa kwanza UKAWA wakafanya wakapata 0% na CCM wakapata 100% halafu baadaye tena wakafanya mtihani wa pili UKAWA wakapata 5% na CCM wakapata 95% hivi UKAWA ukienda uwanja wa Taifa kusherehekea Ushindi si dunia nzima watakuona mwehu uliyelewa viroba !

nani kashinda kwa asilimia zote hizo? acheni kudanganya watu, mnatia huruma
 
Hivi huo mkutano unaopropose, si inabidi uombewe kibali policcm?

Hivi unavyomuelewa kamanda Kova, unategemea atoe hicho kibali cha mkutano wa kushangilia ushindi wa kuwanyonga 'mabosi' wake?

Na hata kama kibali hicho atakitoa kwa shingo upande, basi tarajia mabosi wake hao hao wa Lumumba, kwa kupoza hasira zao, watamwagiza Kova huyo huyo awaagize vijana wake, wavurumishe mabomu ya machozi, ambayo hayajawahi kuonekana toka nchi yetu ipate uhuru wake mwaka 1961!
 
Si mbaya. Ukipata kidogo ushukuru tofauti na kukosa kabisa

Ungekuwa na akili kidogo ungejua kuwa sehemu uchaguzi ulikofanyika mmeshindwa vibaya. Huko mlikopita bila kupingwa au mlikosaidiwa na mapingamizi feki hakukuwa na uchaguzi so ujue kuwa hamjashinda
 
hata kushindwa ni kushinda pia nafasi ya pili
 
Kweli kipofu kaona mwezi.

Hivi mfano Pass mark darasani iliyowekwa na shule kiwango cha chini kikiwa ni 50%, halafu Mtihani wa kwanza UKAWA wakafanya wakapata 0% na CCM wakapata 100% halafu baadaye tena wakafanya mtihani wa pili UKAWA wakapata 5% na CCM wakapata 95% hivi UKAWA ukienda uwanja wa Taifa kusherehekea Ushindi si dunia nzima watakuona mwehu uliyelewa viroba !

Niwashauri tu kafanyieni hizo sherehe UWANJA WA FISI sio Uwanja wa Taifa.

Ongelea ushindi wa kwenye sanduku la kura, sio ushindi wa mezani au wa mapingamizi. Angalia overall kutoka sehem ambazo uchaguzi ulifanyika, watu walisimama kwenye mistari wakapiga kura, then angalia ccm umepata nini na UKAWA wamepata nini, then sogea kwa wanaume uwaambie Una percent ngapi
 
Kweli kipofu kaona mwezi.

Hivi mfano Pass mark darasani iliyowekwa na shule kiwango cha chini kikiwa ni 50%, halafu Mtihani wa kwanza UKAWA wakafanya wakapata 0% na CCM wakapata 100% halafu baadaye tena wakafanya mtihani wa pili UKAWA wakapata 5% na CCM wakapata 95% hivi UKAWA ukienda uwanja wa Taifa kusherehekea Ushindi si dunia nzima watakuona mwehu uliyelewa viroba !

Niwashauri tu kafanyieni hizo sherehe UWANJA WA FISI sio Uwanja wa Taifa.

Mfano wako ni mfu kwasababu CCM ni kama Mwalimu na Msimamizi (wa huo mtihani) hivyo kuporwa hizo tano ni upumbavu wake!.
 
Wazo muswana kabisa hadi inafurahisha wannchi ameamua 2015 haka mapingamiz alakupita ila kupingwa
 
Back
Top Bottom