Recent content by Nauza Akili

  1. Nauza Akili

    JamiiForums Tanzania Wamasai wenye rasta walitulizwa na Masai rapa, mwenda pole hajikwai, alijikwaa baada ya kutegwa na jiwe kubwa, hakunyanyuka tena!

    ""Sasa, Msimamizi Mkuu wa mgodi na watu wake wanajitathimini na kuangalia namna na kustopisha kuchukua morani wapya ili kutathimini namna ya kupata wataokuwa waaminifu kwao, maana wangecheza kidogo tu baadhi ya morani huenda wangechukua mgodi na kuungana na wafanyakazi, sababu nao wamechoka""...
  2. Nauza Akili

    JamiiForums Tanzania Kila unapoangalia hii picha unaweza kujiuliza swali moja kwa zaidi ya dakika 10, "Nyerere alifikiria nini"

    Ndio maana watoto wake hawapewi vyeo vikubwa vikubwa serikalini mana hawana akili timamu,si unamuona hata bwana Supu ya Miguu mambo yake ya hovyo hovyo tu hata aliyempa hiyo nafasi anajuta.
  3. Nauza Akili

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

    We ni bwan mdogo sana kwenye hizi anga,hii kitu nimetoka kukuambia jana,leo PM wenu ka confess publically. Mshamba mmoja wewe!
  4. Nauza Akili

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ndejembi ukakue, sio mwili ila akili, usiwe Samaki

    Nyie mnaomfatilia na kusikiliza hotuba za huyu mama mna moyo sana.😁😁😁🙌🏽
  5. Nauza Akili

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

    Hujui kitu🚮
  6. Nauza Akili

    JamiiForums Tanzania Sheba Igangu anataka Balozi Mkubwa aliwe kichwa kama yule mdogo, wanamlazimisha atume ujumbe kule kuwa aliwaingiza chaka!

    Kijana mtiifu wa mamvi,mgomvi mkubwa wa yule ngosha aliyepigwa pini kugombea kupitia zambarau. Au tuseme yule jamaa aliyetupiga kwenye kuingiza timu ya mtibwa na kagera kwenye ligi kuu. Bosi wake pia ana chimbo kali sana la kula Roast tamu pale mtoni kwa Azizi Ali.
  7. Nauza Akili

    JamiiForums Tanzania Sheba Igangu anataka Balozi Mkubwa aliwe kichwa kama yule mdogo, wanamlazimisha atume ujumbe kule kuwa aliwaingiza chaka!

    Na ndio fomula ya maisha,hii ni nature haiwezi kuepukika.
  8. Nauza Akili

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

    Bwana mdogo kuna vitu vingi sana huvijui,na pia akili ya kutafakari huna. Ngoja nikupe home work ndogo sana: Je,kwanini TEC wanaweza kuichezea serikali wanavyotaka na hawaguswi ila vitaasisi kama wakina gwajima au Kakobe wao wakileta kamdomo wanashughulikiwa mara moja? kwavile hauna akili najua...
  9. Nauza Akili

    JamiiForums Tanzania Mheshiwa Lissu kajitetea vibaya kwenye kipengele cha heshima kubwa aliyonayo kimataifa

    Wewe sitakuuzia akili bali nitkugawia bure,nitafute chap chap nikupatie akili.
  10. Nauza Akili

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Kwahiyo mwanetu mata.ko yamehamia kichwani😁
Back
Top Bottom