CHUNGUZA FALSAFA KATIKA BUSARA NA HEKIMA ZAKO.
Hakuna kipimo cha ufahamu, ukidhani unafahamu sana huwa ni dalili za uwendawazimu unapoongea sana ukiwa huna jawabu la kelele zako.
Busara ni upole na hekima, katika utulivu huu miujiza na uumbaji huonekana katika maono ya vijana na ndoto za wazee...
Hekima za kiongoz huonekana kwa wafuasi wenye hekima, wasio na hekima kila kitu kwao ni kifungo, na mpuuzi akiongozwa kwa hekima ni huduwaa. Hatua za magufuli zimepita ufaham wenu ndo mmekosa ajenda sasa mnahaha kutega wapi atajisahau mdandie! Watu wengine familia yake inadumaa afu anaota...
Mkiona mnakereka sana mjue umasikin hautaki kuwaachia, lakn neema huja kwa maumivu, hivyo tumieni maumivu hayo kuwa fursa mtoke huu ndo wakt wenyew. Wa
Wapinzan nyie mpo wapi kati ya makundi haya? Mosi Protestants, Pili Opposition?? Tafakarin dhana hizo na agenda zake ndo mtajua mnaendesha...
Matatiro hajakomaa anajenga hoja za manafunzi aliyekofield kwenye sasa , msimhukumu akizidi afungwe plasta mdomo wake maana wengne wanajua kupokea ya kusikia hawawezi kuzalisha jibu kwa kutafakari. Mtu mwenye jeuri hukiuka akijua anakiuka hivyo kuongea tu sio suluhisho Bali rungu ndo halali...
Nyie mnaochangia kushangaa kauli za magufuli ni wachanga katika kisima cha busara, huwezi kuelewa maono yenye sura ya kitaifa. Kuna vitendo na kauli zingne huelekezwa kwa fulan lakn athar zake zinawagusa maelfu ya watu ukiwemo wew. Kuna watu akili zao huishia kuona kipimo chao pekee namba...
Lowassa mtoto wa CCM Kwenda CHADEMA sio kumkana mlezi wake bali ni kwenda kuanza maisha mapya ugenin, kimya chake na uvumilivu unatokana utii kwa mzazi wake lakin mnung'uniko hayaepukiki. Hata wew baba yako akikuudhi utalalama pemben lakin shikamo yake ipo palepale. Hao upinzan walompokea lowasa...
Ndugu wapendwa watu wenye ulemavu na jamii yetu ya kitanzania, salamu....napenda kutumia nafsi hii kwa dhati ya moyo wangu kuwakaribisha kwenye ukurasa huu muhimu.
Pia namshukuru Mwenyezi Mungu kwa fadhila zake na wema wake kwa kutegemeza maisha yetu na Tanzania yetu kwa namna ya kupendeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.