Habari naomba msaada nahitaji hiki kitabu na pia cha I will I can aje inbox anijuze bei na pia namna ya mimi kunifikia.asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wadau wenzangu...kwa wale wazoefu na wanaojuwa naomba kujuzwa juu ya mtaji kias gani cha chini mtu aweze kufungua super market au hard ware..inahitajika shiling ngap?
.je mtaji mkubwa aandae kiasi gani ukitaka kufungua hard ware au supermarket....asannteni
Habari zenu wana jamvi naomba msaada kwa anaeweza kunipa njia za kujua vizuri kiingereza kwa njia za kusoma online .Muhimu nahitaji sana kujua kiingereza kusoma, kuongea na kuandika..asanteni
mimi nahitaji kuwa wakala wa maxmalipo..naomba kuelekezwa juu ya upatikanaji wa izo machine...na ufanyaji wake wa kazi...vp juu ya faida zakeee...je napata faida juu ya hasara zake je iko vp
Habari zenu wadau kwa wale wenye uzoefu naomba kujua je biashara ya kuwa wakala wa vinywaji. Mfano maji ya Kilimanjaro, Dasani, Masafi..au soda za kampuni ya Pepsi Cocacola. Je, zinalipa na je risk zake ni zipi? Asanteni
Naskia kuna baadhi ya biashara ukitoa zanzibar kuleta bongoland..zinalipa saana...n pia kuna biashara ukitoa bongoland kupeleka zanzbr kuna faidaa...ninaomba kujuzwa juu ya hilii kwa yeyote anaefahamu...juu ya aina ya biashara.....mtaji wa kuanzia etc....nawasilisha asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.