Recent content by NATHANIELMAIMU

  1. N

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    kwa hili gumu kutafuna ila haki ya mtu inaishia pale inapoanza ya mwingine
  2. N

    JamiiForums Tanzania Sipendi condom

    chagua mmoja mwaminifu nawe uwe mwaminifu kwake,mchukue awe mkeo then kondom bac
  3. N

    JamiiForums Tanzania IGP agoma kujiuzulu, DPP amgeuka Dk Ulimboka

    matukio haya c mazuri,tumrudie Mungu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    tumuombe Mungu hekima,tuwe na subira
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba aliye tayari kunioa

    ningependa kujua unapoishi na unajishughulisha na nn.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kupigwa au kumpiga mpenzi wako ni njia ya kumuonyesha unampenda na kumjali zaidi.....???

    Kupigwa kunasababishwa na wivu,hii ni wazi hawaaminiani na hawana uvumilivu wa kutaka kujua ukweli,ila pengine majibu nayo ni kichocheo cha mmoja kupigwa.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nani Rafiki wa Kweli, Nani Mtu Baki?

    rafiki nimjuae hana makuu,ila kwa sasa cjaona rafiki wa kweli zaidi wamekuwa wanafki,rafiki mzuri leo kesho adui.
Back
Top Bottom