Leo majira ya saa 5 tulipata taarifa za kuairishwa kwa Tamasha kubwa la Muziki Tanzania. Tujadili hapa,kuahirishwa kwa tamasha hili kuna athari gani kwa wasanii,wadhamini,wapenzi wa muziki,wafanya biashara na wadau wa Muziki kiujumla
Habari za muda huu wakuu.
Najaribu kujiuliza pindi serikali itakapohamia Dodoma,Je kuna Fursa za kiuchumi zitakazoongezeka na kuwapunguzia umaskini wananchi wa mkoa ule?
Radio nyingi za Tz zinaugana kwenye mambo mengi. Yaani ukianza kusikiliza vipindi vya radio tofauti tofauti tangu asubuhi hadi jioni huwezi kutofautisha. Ni kama umesikiliza radio moja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.