dawa yao ni kuwabamiza makofi, uzuri kama vijjn huwa wanajibanza kwenye vikona hivi tena hawana siraha, akikuletea za kuleta tia makofi ndo dawa ya kuzuia rushwa. hawa jamaa kwa rushwa wanaongoza
Wataalam nisaidie namna ya ku update drivers za laptop bila kununua cd. Tusaidie link na if possible lisense key za kufungulia drivers.
mi ninejaribu smart driver updater wakataka lisense key nikakwama!
Habari wakuu,
Kwa nini mtoto mchanga aliyezaliwa anakuwa na ngozi kama ya wazungu na baadae anakuwa mweusi, lakini watoto wachanga wa wazungu hawabadiliki kuwa weusi. Ikoje kitaalam.
wataalam tusaidieni step by step za kutumia laptop kujipatia wireless internet kutoka kwenye simu ya mkononi bila kutumia moderm au usb cable. mi simu yangu ni itel version 2.3.5 na laptop ni acer hdd 500 gb, ram 2 gb.
wazo la mtoa mada safi sana, lakini baadhi ya wachangiaji.... labda nyerere arudi tuanze EWW, maana hii ya drs la saba haijasaidia. changia mawazo ya kutatua changamoto si matusi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.