wataalam tusaidieni step by step za kutumia laptop kujipatia wireless internet kutoka kwenye simu ya mkononi bila kutumia moderm au usb cable. mi simu yangu ni itel version 2.3.5 na laptop ni acer hdd 500 gb, ram 2 gb.
Ingia katika seting ya simu yako zen tafuta network>more>hotspot>configeration account baada ya hapo nenda kwenye wifi ya laptop yako washa kisha itadetect hotspot ya sim yako baada ya hapo fanya yako sasa
Nenda pale chin kwenye icon ya betri utakutana na icon ya internet connection click hapo ila hakikisha kuwa wifi ya laptop yako iko ON kwanza ili iweze kudetect network ya sim yako kisha connect fanya yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.