mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,770
- 7,123
Mkoa huu ni kati ya mikoa ilijaliwa sana kuwa na mazingira mazuri ya kilimo, ufugaji, uvuvi, utalii na mazoa ya misitu.
Kagera imekubwa na matatizo mengi sana makubwa hasa janga la vita na ukimwi. Haikuishia hapo, wakazi wa mkoa huu wamepigwa sana vita vya ukabira na chuki nyingi sana ikatufanya kuwepo mdororo wa kielimu. Ilifikia wakati unajiandikisha majina yote bila kuweka la ukoo, ili kuwepa panga la wasahahihisha mitiani.
Janga lingine upungufu wa chakula bora chenye protini hasa mazoa ya samaki, maziwa na Nyama.
Tujikumbushe, zamani palikuwepo samaki aina mbalimbali wenye virutubisho vingi hadi sasa hata majina yamesahaulika tukaletewa samaki mla samaki kawamaliza wote hizi fitina.
Serikali au kwa makusudi au bahati mbaya ilihakikisha haipeleki ruzuku kwa wakulima wa kahawa, wala haipeleki madawa kwenye majosho. Ng'ombe walikufa sana kutokana na magonjwa mengi, kupe n.k
Kumbuka kuwa ng'ombe ilikuwa nguzo Kuu kiuchumi na kijamii. Tulipata mbolea ya kutosha hadi tulikuwa tunagawa bure, tulikunywa maziwa sana, tulikuwa na Nyama ya kutosha hadi ilikuwa haiuuzwi. Ngozi zilikuwa na matumizi mengi hata kwa matumizi ya mboga (okuoka ekikoba ) migomba ilistawi vizuri kutegemea mbolea hii ya asili.
Ufugaji ulitoa ajira nyingi kwa vijana japakuwa kulipana ulikuwa unapewa mifugo badala ya fedha.
Miti mingi ya mihumula ilistawi sana kutokana na mbolea na ilikuwa rafiki wa mazingira.
Hasara tulizozipata baada ya majanga haya
Magonjwa mengi nyemelezi na afya mbovu. Siku hizi uwezi kuoana hata wawindaji kwani hakuna mwenye nguvu kufukuza Nyama.
Kusuka kiwango cha ufaulu.
Kutokana na kukosa Milo kamili hivi sasa hatusifiki tena kuongoza kiakili labda walipkimbia majanga haya.
Wivu majungu kuongezeka kutokana na kupishana sana kati ya aliyenacho na asiyenacho.
Vifo vya wazee vimeongezeka sana lishe mbaya, zamani mzee akihisi njaa anakunywa bakuli la maziwa ngando wakati anasubilia mlo kamili.
Kukithiri kwa unywaji gongo na ongezeko la omba omba hili limekuwa tatizo kubwa hadi kwenda likizo tunaogopa vijana wamekata Tamaa.
Jinsi ya kupunguza tatizo.
Kuchangi sana shule za kata ziwe na uwezo wakufaulisha.
Kuongeza ufanisi katika zahanati zetu hasa dawa na mahabara.
Kufufua majosho yetu pamoja na kuwapa sapoti wafugaji.
Kufatana na kukosa mbolea asili tutume watafiti wa mazoa mapya ya matumizi ya chalula na biashara.
Tujalibu kilimo cha alizeti, tuimize kilimo cha kalanga. Tujenge viwanda vya kusindika Katanga na alizeti.
Tuondoe ubinafsi yaani mtu anamajengo na shule nyingi Dar nyumbani zero.
Tuwabane wawakilishi wetu wakishindwa tuwapige chini
Nawakilisha
Kagera Oyeee