Hii shule ya Upendo ina mambo ya ajabu sana, walimu wanalazimisha watoto wa madarasa yote wasome tuition kwa lazima tena wanawakagua hela walizopewa za kutumia wanachukua wanafundishia tution, kwa lazima.
Pia wanalazimisha watoto wakafanye mitihani jumamosi lengo ni wao wapate hela na...
Ni kweli kuna sababu. Sababu ni kuwa alikuwa ana mwanamke mwingine ambaye alikuwa anataka kuishi naye hivyo alikuwa ananifukuza niondoke aishi na huyo mwanamke.
Mwanaume ninayeishi naye sikuwa naye kipindi cha ndoa nilimpata baada ya kuachika.
Soma nyuzi za nyuma utakuja kukutana na kioamde...
Salaam wakuu
Miaka michache iliyopita nilipitia mambo mengi kwenye ndoa ambayo nikiri kuwa hayakuwa mazuri kwa ukuaji wa watoto wetu kisaikolojia.
Watoto walishuhudia nikipigwa mara nyingi sana, nikitukanwa au kusemwa vibaya. Na hata kuna wakati ugomvi ukitokea chumbani walikuwa wanakuja...
Serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia haiwezi kufikiria cha kufanya angalau kupunguza uchungu anaopitia mwananchi kwa sasa wa kupanda kwa bidhaa karibu zote nchini.
Serikali hii inachowaza ni kupata pesa ili wao waendelee kunufaika ndii maana wamelundika tozo na kodi za kila aina, zingine...
Nimekumbuka mbali, niliwahi vurugwa na mahusiano ya ndoa mpaka yakavunjika. Nikawa nasema sitaki tena mwanaume mimi bora niwe single.
Baada ya mwaka mmoja wa kukaa single bila kuwa na mtu niko mwenyewe na wanangu najiona nina amani na furaha yaani siwazi kuhusu mwanaume wala nini.
Akatokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.