Recent content by Natafuta matibabu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nimekataliwa kwenye maombi ya kazi kisa Ulemavu wangu

    Mwaka uliisha na uliofuata uliisha
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nimekataliwa kwenye maombi ya kazi kisa Ulemavu wangu

    Sikujua kama maneno haya yana ukweli namna hii
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Software inayobadili sauti kuwa maneno

    Developer wa Kiswahili wakiamua wanaeweza kufanya jambo la muhimu ila bado hawajatambua hii fursa
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Software inayobadili sauti kuwa maneno

    Changamoto ni kwamba inashndwa kubaini maneno ipasavyo labda yatamkwe vizuri kwa lugha ya kiingereza, kiswahili haiwezi
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Software inayobadili sauti kuwa maneno

    Ni kweli nataka kufanya transcribing hasa kwenye matukio muhimu ambapo mzungumzaji anakuwa mmoja, hata pia nikitaka kuzungumza na mtu ishu muhimu niweze kumuwekea kifaa halafu mimi niangalie computer. Ipo kwenye computer kupitia Microsoft word nimeijaribu ila hakuna ufanisi maana inataka maneno...
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Software inayobadili sauti kuwa maneno

    Nimejaribu kupita mtandaoni nimeona zipo kama vile google speech detector, ni kweli kwenye kiswahili haifanyi kazi ila kwenye kiingereza inafanya kazi lakini iwe ni maneno yaliyonyooka, yaani yaliyotamkwa vizuri kama yanavyostahili ndio yataweza kubadilishwa. Sasa nimefikiri labda naweza kupata...
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Software inayobadili sauti kuwa maneno

    Moderator nimewaomba uzi ubaki jukwa la Habari mchanganyiko ili utembelewe haraka. Mkaukimbiza huku, ona sasa zimepita dk 52, uzi una view 23 tu. Anyway, ndio majukumu yenu hayo, ngoja niendelee kupambana na hizi view chache naweza kusaidika
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Software inayobadili sauti kuwa maneno

    Salamu kwa wana JF wote, husika na kichwa cha Habari. Nina uhitaji wa SOFTWARE ambayo inabadili sauti kuwa maneno. Hii software inatakiwa iwe ni ya ku Install kwenye Computer au Kishikwambi. Iwe na vifaa kama Microphone ambayo mzungumzaji atakuwa anaivaa mithili ya zile ndogo za Makocha wa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ofisi ipi kati ya hizi naweza kupata msaada?

    Niliwahi kupeleka CV na nyaraka zingine Wizarani ila sikuwahi kupata mrejesho hadi sasa
  10. N

    JamiiForums Tanzania Yale mafunzo ya VETA yaliyotangazwa na serikali yatakuwa ya muda gani?

    Mambo yalikuwa magumu nikakimbilia VETA, nilisoma kwa wiki mbili nikaacha baada ya mtu tuliyefahamiana kuniajiri kwenye Biashara yake. Hongereni wote mlioweza kumaliza yale mafunzo!
  11. N

    JamiiForums Tanzania "Siku hizi uko wapi?" ni swali linalonikera. Chini ya Rais Samia, huenda nikapata jibu lake

    Updates: Jibu lishapatikana, sasa ni mtumishi wa umma. Ahsanteni kwa faraja na maombi yenu
  12. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nimesoma shule za kawaida nikiwa sisikii vizuri. Changamoto zilizopo ni uhaba na ukosefu wa mafunzo ya lugha za alama

    Mkuu nimekucheki kwenye namba yako hii, bado sijaona response
  13. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nimesoma shule za kawaida nikiwa sisikii vizuri. Changamoto zilizopo ni uhaba na ukosefu wa mafunzo ya lugha za alama

    Hizi ndio changamoto tunazopitia https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/39372935
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nimekataliwa kwenye maombi ya kazi kisa Ulemavu wangu

    Mungu ni mwema, nilipata kazi
Back
Top Bottom