Recent content by Nassor Ally Cholo

  1. N

    Msaada kuhusu postgraduate diploma in education

    Hivi ukisoma PGDE unawez ukachukuw Masom ya sayans mfan chem &geo lakin degree ulisomea human resource
  2. N

    Msaada kuhusu Post graduate diploma in education Open University

    Km umesom BA geography and environmental studies unawez kuchukuw geo na chem
  3. N

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma yatoa angalizo kwa waombaji wa kazi

    Sasa iyo barua ikiituma bila ya signature na vyeti kutokucirtisfy maombi yako hayatozingatiw
  4. N

    Ajira za walimu zimetoka

    Kwani somo LA geography sio science na kama sio kwa nini limeunda comb za science km CBG,nk
  5. N

    Serikali ipige marufuku watu ambao siyo 'Professional Teachers' kufundisha Private Schools

    Professional sio ishu, ishu ni VP unauwez wa kudeliver material kwa mwanafunz kuna waalim kibao na professional zao wanafundisha na wanafunz hawawaelew kazi yao kuongeo na ubao tu hawafamik binafc nlishawah kufindishw na walim haw ila wk walim sio profession education ila wanaujuz mzur wa...
  6. N

    Huku SUA Tunaisoma namba, Majina ya mikopo hayatolewi

    Acha kukiponda udom hicho chuo ni shida Tanzania kuliko udsm upper class kuipat pale nishida
  7. N

    Bomu la wanafunzi litaiangusha hii serikali!

    Me naona elimu imeshakufa kwa sababu ya viongoz kuichanganya na siasa mwanang kusoma bac kwa sasa ni bora achunge ngombe watamseidia baadae kuliko kuwan na maband akaambukia patupu
  8. N

    Hivi kiwango cha mwisho cha ufaulu darasa la saba ni upi?

    Kwan mwenye grade D nae anachukuliw form 1
  9. N

    Hivi kuambiwa utume pesa kwa ajili ya interview sio kuibiwa huko

    Naomba munisaidie wadae mm nmechaguliw na company fulan inaitwa relen consultant kwenda kufanya interview tareh 19 mwezi huu ila tatizo mmeambiw kweny SMS kuwa nitum sh, 20000 kupitia aetel money kwa ajil ya break fast and specialist allowance hivi huu sio wizi au kunaukweli wowote juu ya hili...
Back
Top Bottom