Recent content by nasry9819

  1. nasry9819

    JamiiForums Tanzania Uume hausimami baada ya kutumia tadalafi mara 40 kwa miaka 3 wakati Tofauti Tofauti

    inaitwaje iyo dawa kwa faida
  2. nasry9819

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza ukawa una vidonda vya tumbo na usipate maumivu ya tumbo?

    habari member. hakika juice ya cabage na majani ya mashona nguo n kiboko,nimetumia siku mbili nipo fresh sana gas tumboni kwisha kabisa japo pia nazingatia vyakula stak hizi coca
  3. nasry9819

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza ukawa una vidonda vya tumbo na usipate maumivu ya tumbo?

    yani hii ndiyo shida yangu. tumbo haliniumi lkn nikinywa soda au dagaa au limao tumbo linajaa sana natoa sana ushuz nakuwa na hofu sana na sijui nahofia nini yani nakosa hadi amani.nilienda benjamini mkapa wakanipima wakanambia ni vidonda vya tumbo wakanipa dawa nyingi lkn zimedunda nahitaji...
  4. nasry9819

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nahitaji mke mwema wa kiislam:

    habari member
  5. nasry9819

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    uhakika kesho mapema sana
  6. nasry9819

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    bado hali ni tete, ila atashinda 1hf
  7. nasry9819

    JamiiForums Tanzania simu ya samsung note9

    naipenda hii note inatunza sana chaji. sipo tayari kuiuza
  8. nasry9819

    JamiiForums Tanzania simu ya samsung note9

    nmeona imeandikwa android auto nmedisable nkareboot lkn bado
  9. nasry9819

    JamiiForums Tanzania simu ya samsung note9

    wakuu niaje.nina simu ya samsung note9 shida niki unistall au delete txt notification ya deleted inakaa muda mrefu sana alaf ndy inatoka.eg. picha below
  10. nasry9819

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    watu wanalala mno
  11. nasry9819

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    umetisha
  12. nasry9819

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    nani yupo online muda huu?
  13. nasry9819

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    n uzi muhimu sana huu:
  14. nasry9819

    JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz unatuangusha sana wanaume wenzio

    anakumbatiwa eti anatulizwa....."relax"
Back
Top Bottom