Recent content by nasrimgambo

  1. nasrimgambo

    CCM walipopatia ni hapa

    CCM ina mambo yake yanakosolewa na watu ila kuna jambo moja wamelipatia sana, ambalo vyama vingi barani afrika vimefeli nalo ni kujenga chama ambacho kinamjumuiko (inclusivity) ya watanzania karibu jamii zote CCM ni chama cha matajiri, maskini, wasomi, wajinga, waislamu, wakristo, wahindu...
  2. nasrimgambo

    Watu waliotajwa zaidi kwenye nyimbo za kikongo

    kinachoniuma mtoa uzi hujataja wanayanga, na wakati wametajwa katika moja ya nyimbo za Congo, kiitikio chaenda yanga africa yanga africa mabingwa wa afrika mashariki na kati
  3. nasrimgambo

    Ushauri: Chuki ubaya iliyopandikizwa katika familia yetu dhidi ya ndugu wetu wengine katika ukoo

    n wapotezeeni tu, watu hawawalishi hawawavishi msijishughulishe nao
  4. nasrimgambo

    Najaribu fani ya uchekeshaji ila watu hawacheki kwanini?

    yani kwa maelezo yako tu hapa, haujawahi kufanya mazoezi, hauna uzoefu wa kuchekesha watu jukwaani, yani hauna mbinu, utindu wala ufundi wowote, hata kama ukiwa na kipaji bado unahitaji mazoezi n uzoefu, ingekuwa rahisi wauza machungwa wote, makondakta wote wangjiingiza kwenye uchekeshaji, ila...
  5. nasrimgambo

    Najaribu fani ya uchekeshaji ila watu hawacheki kwanini?

    kuchekesha ni aina ya sanaa sanaa ni aina ya ufundi, na ufundi, mtu anajifunza ama anaufanyia mazoezi ama kuutafutia uzoefu ili kuwa mtaalamu mbobezi wa ufundi husika mtu anaweza kuwa na kipaji cha sanaa fulani ila akawa sio fundi wa sanaa hiyo ndio maana kwa mfano msanii kama Diamond...
  6. nasrimgambo

    Alifukuzwa nyumban kwake, akatapa tapa, kila mahali kabaguliwa na kuuliwa, leo hatimae amerud kwake, kajizatit, unafikiri atakubali mumuondoe kirahisi

    kila sehemu ukitakiwa na mwenye kwake dunia nzima itakuwa hakuna mwenye kwao, katika historia sio tu ya biblia bali hata ya kidunia hao waisraeli hawajawahi kuishi hapo kwao peke yao, kwanza walikuta watu wapo, hawakufikia maporini kulikuwa na watu, haonwapalestina sio wahamiaji hapo, nao ni...
  7. nasrimgambo

    DOKEZO Mbona ujenzi wa SGR hapa jiji la Mwanza na kwenda Isaka umekwama?

    zanzibar wana uchumi wao n mamlaka yao ya mapato, miundo mbinu sio suala la muungano, ila tu pale pesa za kujenga miumdombinu zikitoka nje lazima znz wapate gawiwo (kwasababu mahusiano ya kimataifa ikiwemo misaada ni suala la muungano) usiwe na shaka hakuna pesa ya bara inayojenga flyover wala...
  8. nasrimgambo

    Kwanini jiji kama Tanga na maeneo ya Pwani hayaendelei kiuchumi na uamini kwenye kuroga sana

    sababu ya kwanini hakuendelei ni kwamba sababu zilizofanya miji hiyo ikue zimepitwa na wakati, miji y apwani ilikuwa kwa kasi zamani kwasababu bara hakukuwa na miundombinu, kama barabara na kadhalika, wao walikuwa na usafiri wa uhakika wa majahazi, wakafanya biashara na miji ikawa mikubwa, mambo...
  9. nasrimgambo

    Ni kweli mama yako mzazi ukimkosea, kwa hasira akavua nguo(kumwaga radhi) mtoto unakuwa kichaa?

    laana ya mama ipo kweli, tena sio mama tu, hata baba, mjomba shangazi, kaka hadi dada, mtu mzima yeyote wa damu yako aloyekuzidi umri anaweza kupelekea ukapata mikosi. ni muhimu kuepuka mizozo nao, tumia lugha tofauti ukiongea nao, na jitahidi kuwaelewa fijra zao yani huo ni msalaba wako kama...
  10. nasrimgambo

    Hivi kitimoto iliwakosea nini waislamu?!

    hakuna mnyama anayechukiwa, nguruwe ni mnyama kama pundamilia, kobe au mamba yani anastahili kuishi zake porini tu na sio kufugwa na kuliwa
  11. nasrimgambo

    Barabara ya Songea kupitia Malinyi, mpaka Ifakara itajengwa kwa kiwango cha lami nikiwa Rais wa Tanzania

    yani sio hivyo tu, kunahitajika njia kubwa ya kutoka kisarawe kwenda maeneo ya eidha kidunda morogoro au karibu na bwawa la nyerere, kisha kwenda kisaki morogoro, kusini mwa milima uluguru, kisha kutoboa hadi mikumi, (hii njia itafuatana na reli ya tazara) itakuwa tuna shortcut ya kutoka dare...
  12. nasrimgambo

    2026-2030 itakuwa ni miaka migumu sana Kisiasa, Kiuchumi na Kiimani

    ni mtazamo wako, sio mara ya kwanza kuwa na Rais anayeingia kipindi cha pili, Mwinyi, Mkapa, Kikwete wote walihudumu vioindi vya pili vya urais na nchi ikaenda anayetaka urais 2030 anachohitaji ni kutumikia nchi, aonekane kufaa hiyo 2030, kuhusu uchumi, misaada itaathiri wanaotegemea misaada...
  13. nasrimgambo

    Imani Asili za Kiafrika, kufa kwake na kubaki kwake

    Kabla ya kufika dini zilizoingia nchini kwa meli, waafrika, wa hapa Tanzania ya sasa walikuwa tayari wana imani zao za asili. Ambazo zilitamalaki na watu wakaziamini kwa uwazi kabisa nazo zikaongoza maisha yao koroho. Sasa zinaonekana zimepotea, na kufyekelewa mbali na dini za uislamu na...
  14. nasrimgambo

    Vijana hasa Wakike wa Kaskazini ni Waaminifu ukiwachia biashara, hawana Kona kona Nyingi

    uaminifu hauna asili, ukute mdada wa arachuga kaamua lake la kukupiga tukio, anakupiga hilo tukio kweli
Back
Top Bottom