hapana sio kweli hao uliowataja hawawezi nunua ist ni sisi wenyewe hoja ya jamaa ni kwamba mfano unakuta bei ya gari ya 2005 ni 5m ila kodi ni 10m jumla 15m hoja ya mwamba ni kwamba kwa gari ya 2020 mfano iwe 8m afu kodi iwe 3 au 5 ambapo unapata 11m au 13m faida ni kwamba tutapata gari latest...
Ushauri wangu kwa serikali
1. Wizara ya Nishati, EWURA na TANESCO.
( A ) Kwa kuwa ripoti zao zinaonyesha umeme uliopo ni mwingi kuliko mahitaji basi ni rai yangu washushe bei ya kuingizia umeme kuwa TZS 27,000/= kwa maeneo yote nchini ili kila mmoja amudu na Faida yake ni kwamba shirika...
kuna series flan hv naitafutaga sana na sijawah ipata inaitwa Korea Secret Agent nadhani ni ya 2011 picha inaanza kuna mzee aliachaga kazi yuko porini anafuga ng'ombe kuna mtu alitumwa na Helkopter kumfuata, mwanzoni walianza kuwatraini vijana baadae walianza kupewa mission nakumbuka jina moja...
mwamba sio bahili yupo sahihi unaweza kuta mwanaume yupo serious na mahusiano na mwanamke kapenda pia lkn changamoto ni vizinga na timing zake inaweza kuwa kweli ana shida lkn anaitoa muda gani, ukutane na mtu kwa mara ya kwanza then uanzishe relation baada ya siku mbili vizinga vinaanza hakuna...
ndo maan nlisema siku hiz mpk umle kanji ni kazi sana imagine odds ya 1.03 inachana kabla ya beting company kuanza kuingia mpk kudhamini mpira mambo hayakuwa magum hv mfano SPORTYBET wanasponser Madrid muda mwingine nadhan wanarudisha faida ili wasitoke kwenye mstari baada ya vipigo vingi ndo...
usenge tu ukiweka under inatoka over na ukiweka over inatoa under yan vurumai ili tu mtu upigwe kuna gem nmewahi ipa under 4.5 mpk ht 3-1 leo nmeweka dc ya 12 hola mfano bvb yaan vulumai sometimes yes kubet na bahati vina mahusiano
nataka kuja na idea flan hv sijui kama itafanya kazi( ni maoni) japo inataka mtaji mkubwa unless otherwise itakuwa ni kupoteza muda, ni kutengeneza game 10 mpaka 20 na kutumia option za kujilinda sana like kumtanguliza mtu goli 5 au mfano city anacheza na soton unampa city or under/over...
wanuie tu watu hatujaanza leo kulost misim 6 nyuma mikeka ilikuwa inaeleweka na kujilipua laki ilikuwa sio shida lkn nowdays odds ya 1.03 inakuchania vimia mia acha viende tu sema kinachotuumaga sio stake ila kile tunacho tarajia kuwin
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.