ingefanyikia kigoma ingekuaje?acheni unafki watanzania ile ni b'day yao waachane wafurahie..!sisi kazi 2lionayo si majungu bari ni 2015 kufanya kweli basi..!ayo mengine nia Ccm ndani ya Ccm 2kizidi sana itakua unafki
Uhali gani wana jf ?natumai mwenyez mungu atakua ametupa afya tele.!
najitokeza kuumpa pole jk kwakuongoza Taifa ambalo kila sekta muhim ilikua imebinafsishwa.daah jamaa hana pakukimbilia kila akienda huku anakuta mkapa na mwinyi walishapiga kufuri..yaani kabakisha kicheko cha kutuchekea...
By Herieth makweta.
MARA nyingi wengi tumekua tukichukulia masuala ya kiuhusiano tofauti na vile ilivyo kawaida
Siku zote wanawake hujitahidi kutafuta wanaume wenye vipato vyao na wangine pia kutafuta wale waliowazidi kielimu. Hata hivyo wanaume wengi wamekua waoga kua na wanawake waliowazidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.