Recent content by nasnay

  1. nasnay

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Huyo hajafika kule Bitilio(Musoma)kwa yule Mama mtaalam wa uzazi![emoji23]
  2. nasnay

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Mkuu Syb, una uhakika huyu haugui ugonjwa wa matende kweli?
  3. nasnay

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Ieleweke kuwa hamna "BINTI" wa Kiume!
  4. nasnay

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Nikiwa kama jirani wa kipare, "jamaa wanachezea hela sana kununua matairi mapya hayo!"
  5. nasnay

    Mawifi loving ruksa lakini ukweli wa mambo kaka yenu amependa

    Ubovu wa hio hali afanyiwe dadaako, ndugu zako wa kike wata support, ufanye wewe kwa mkeo uone dada zako watakavyomshukia laaziz wako!
  6. nasnay

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hujawajua hao tu mpaka leo? Maneno yao yanaweza ukajiona hamna mbumbumbu wa kuyatafuta maisha kama wewe, ilhali una maisha mazuri kuwashinda!.
  7. nasnay

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kabla hatujajadili zaidi , picha ya bulaya hapo ilifuata nini?
  8. nasnay

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Iyo nkwei kabisa mosie, imi nbuie makeo!
  9. nasnay

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Labda mmelia nyie na ndugu zenu, huo muda kama sina cha kufanya si bora nkapige puchu nlale!
  10. nasnay

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Mbna kama Mme[emoji848]
  11. nasnay

    Hali ya hewa inaruhusu

    Nadhani kama sio karibu na kwa Cham dukani ni maeneo ya stand hapo[emoji23]
  12. nasnay

    Photo of the day

    Ubovu wa wabongo maisha yakikupiga unataka kila mtu apigwe kama wewe,Nonsense !
  13. nasnay

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    No 2. Amepata Kichwa(akili) na kifua(Moyo). Hivyo ndo vinacontroo huko kwa jamaa namba wani.
  14. nasnay

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Vitu vya thamani haviwekwi sebuleni au kwenye corridor, vyawekwa chumbani tena kwenye Safe.(moyoni kwenye Ventricle ya kulia kabisa!)
  15. nasnay

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Mkoa wa Kinondoni wilaya ya hananasif
Back
Top Bottom