Recent content by Nasikitika

  1. N

    IPhone13 na dada zetu

    😂😂
  2. N

    IPhone13 na dada zetu

    😂😂😂
  3. N

    IPhone13 na dada zetu

    Daah Dunia ipo mwisho ndugu zangu na life is too short tufanye matendo mema tubu kabla haujasaliwa!!
  4. N

    Lita ya mafuta ya kula imefika Tsh elfu 10. Rais Samia ajulishwe na aingilie kati

    Ambavyo havijapanda Bei ni mazao ya vyakula tuna mshukuru mungu sana unga wa sembe bei nzuri, mchele bei nzuri na pia now days watu wanatumia gas katika kupika so life is simple( ila unatakiwa ufanye kazi sio simple kihvo) Kwa hapo tunashukuru serikali ya awamu ya sita!!
  5. N

    Mgogoro wa wafugaji nchini imeshamiri sana

    Kwel kiongozi point ulizo zitoa zipo sawa kabisa!! Na pia nchi yetu ni ya pili katika kuongoza mifugo in Africa continent!! Shukrani sana
  6. N

    Nataka kuanza kucheza FOREX baada ya kukosa mtaji vipi hii ni kamali?

    Habari za muda huu, naanza na hvi Cha kwanza husiseme unataka kucheza forex( Forex HAICHEZWI) weka kwenye akili yako now pia forex sio kamali..., Baadhi ya watu wanao deposit pesa na wanapata faida nchini kwetu mfano Sir Jeffie!! Forex sio kamili ni online business ambayo una deposit pesa...
  7. N

    IPhone13 na dada zetu

    Yaan naumia sana kwa sisi wavulana/wanaume kuona wadada zetu hawawezi kujitegemea mpaka now tuna wadharirisha mitandaoni 😭 ili sio vizur na aileti picha nzuri katika jamii serious. Please tuache hii tabia. Na pia wakina dada msijirahisishe sana ni ushauri tu. Note ushauri unaweza kuhufata au...
  8. N

    Nataka kuanza hii biashara japo wengi mtanishangaa, naomba uzoefu wenu

    Kwa kuwa Kila mtu yupo sahihi kwa nafasi yake lakini fata Sheria za nchi maana husije vunja Sheria za nchi ni kosa la jinai fanya research kwanza kusanya data, watu wate comment chanya au hasi..., Ukipata comment chanya wew endelea nayo hyo business
  9. N

    Nataka kuanza hii biashara japo wengi mtanishangaa, naomba uzoefu wenu

    Boss habari za muda huu, kwa kwel Biashara hyo inafanywa online business lakini kwa huku kwetu TZ baadhi ya watu wanafanya ila first of all fanya research.. Kusanya DATA kwa watu mbalimbali, Conclusion angalia na some effect katika society halafu conclude wew mwenyewe!!
  10. N

    Lita ya mafuta ya kula imefika Tsh elfu 10. Rais Samia ajulishwe na aingilie kati

    Yeah serious problem, mafuta yanapanda Bei Kila kukicha yaan wapishi wakina mama wanatumia sana daah sasa hvi kutatokea na effect ya Bei ya vyakula vinavyo tumia mafuta haswa mtaani!!
  11. N

    Tuelezane namna ya kutotolesha mayai kwa kutumia pumba

    Kifaranga hutotolewa kwa siku 21 sasa unatakiwa kuwa makini sana na huangaligu juu ya mayai yako pale ambapo utakapo weka kwenye pumba.
Back
Top Bottom