Mimi binafsi nilisahau ,usiku wa Jana ndo alinikumbusha kuleta mrejesho
Ni Kwa sababu baada ya kujuana alikuwa hakai mbali na napokaa Mimi so tulizoeana mpaka tukasahau kuhusu Jf
September 28 ,2019 nikiwa nimekosa uelekeo wa maisha ya kimahusiano nilikuja hapa jukwaani ,Nikasema natafuta Mume ,kiukweli uhitaji nilikiwa nao lakini sikuwa naamini kama huku nitapata mtu,pili niliogopa ningeonekana kuhuni au kutoaminika so ilikuwa kama njia TU ya kujiondolea stress walikuja...
Additional point: Haikuhusu, unaringa inajisikia una double standards kwa binadamu wenzako
Yani wewe kuzaliwa dar na Meno meupe unajiona umemaliza kila kitu
#[emoji847][emoji847]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.