alinifulahisha ile siku magu kukata kamba kabla ya kutangaza watu chini chini walikuwa wanasema mzee kakata kamba sasa huyu namungo gang akasema chato gang yupo ofisini na anaendelea na kazi kumbe wamemuweka monchwari
Kiukweli tujifunze kitu hapo hawa mashehe wanaoacha kufundisha uislamu badala yake wanafundisha kuhusu wakristo kuwa makafili ,,, Unazani hata kule palestina hawapo mashehe kama hao? kwahio achene makafili wafanye ukafili mnaouzungumza kuwahusu simnaupenda? basi vumilieni hamuwawezi wale...
Naamini kabisa lilikuwa wazo la mtukufu wala sio wazo la waziri nduguyule kuhusu kupanda kwa vifulushi ili vijana tukachimbe vyoo ndio tuonekane kwamba tunaendana na hapa kazi tu. kwamaana kabla hajatutoloka kunabaazi ya vibwengo walikuwa wanatafuta kiki kwa kusema vijana niwavivu. hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.