Mbunge wa Kilolo ahoji ni lini Serikali itashusha gharama za vifurushi

cool d

JF-Expert Member
Jan 20, 2015
1,284
2,000
Hayo maendeleo ya kukamua watu mpaka tone la mwisho hayatufaa angalau na sisi watuachie kiasi Ili tuweze kutumia hiyo internet kwaajili ya kujifunza Ili maendeleo yatunufaishe maana kwa ulimwengu wa sasa internet tena kiganjani inasaidia kujifunza vitu vingi na kutupeleka mbele na kutuunganisha kimataaifa kupata tekinolojia mpya, mambo ya kuturudisha nyuma imefanya tuzidiwe hata na mababu zetu waliotengeneza vitu vya matumizi ya wakati huo, Kwenye internet kwa kweli waturudishie mabando ya gharama ndogo.
 

NDUKI

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
3,243
2,000
1.sh500=mb500siku 2.sh1000=1.2gb siku 3sh1000=1gbwiki 4.2000=2.5gb wiki 5.sh2000=2gb mwezi

Hii ya 2000 unapata 2GB ina dakika na sms au ni internet pekee...?

It means 10k for 10GB per month sio mbaya ukiunga 10k for sms and calls for a month not bad at all life goes on...!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom