Recent content by nashy

  1. nashy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Afariki akiombewa kwa Nabii Rajabu, akutwa hana nguo na nyusi

    Manabii wa uongo
  2. nashy

    JamiiForums Tanzania Kura za Maoni Ccm Aibu Tupu Arusha,Idadi Ndogo Yatishia Uhai wa Chama.

    Chid Benz kachangi hela ya unga
  3. nashy

    JamiiForums Tanzania Lucy Nkya (Naibu Waziri wa zamani) arushiana risasi na mwanae

    hahahaha wanagombea bwana sio?
  4. nashy

    JamiiForums Tanzania UJENZI na shilingi 252 bilioni

    Zitto, yaani hawa jamaa ndo wanatafuta pesa ya kampeni kwa nguvu kiasi hiki? Maana ni pesa nyingi sana kweli waache siasa watoe majibu
  5. nashy

    JamiiForums Tanzania Polisi yatoa Ufafanuzi wa 'Bomu' la Kanisani Kijitonyama

    sasa kanisani napo ni angani? Na kama kimepotea mbona hakuna taarifa yeyote kutoka mamlaka husika?
  6. nashy

    JamiiForums Tanzania Dada yake MBOWE aikacha CHADEMA ajiunga na CCM!!

    USAHIHI WA UVUMI ULIOENEZWA NA MAGAZETI YA CCM KUWA DADA WA KAMANDA MBOWE AMEHAMIA CCM TOKA CHADEMA Grace Mbowe ni dada wa afande Gervace Mbowe OCS wa Makuyuni aliyewasaidia wasomali kumpiga mbunge Nassari. Hawana uhusiano wowote na Freeman Mbowe
  7. nashy

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Chacha Wangwe azua balaa CHADEMA

    Zakayo namfahamu nimesoma naye
  8. nashy

    JamiiForums Tanzania John Njenga Karugia: I cry for Tanzania - Madudu ya Julius K. Nyerere International Airport!

    Lugha inakua tatizo katika huduma za jamii, lakini pia system ya mawasiliano bado ni shida, kiasi kwamba finger print imebaki Tanga, JNIA haipo.
  9. nashy

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kama CHADEMA na Viongozi wenu hivi kweli mpaka Mwezi Unaelekea kwisha!!

    https://www.facebook.com/photo.php?fbid=549786098402041&set=pcb.549786268402024&type=1&theaterhttps://www.facebook.com/photo.php?fbid=549786098402041&set=pcb.549786268402024&type=1&theater
  10. nashy

    JamiiForums Tanzania Tanzanian Woman Arrested for Drug Possision in Zimbabwe

    Sasa hawa warembo wataishia jela, sijui itakuaje
  11. nashy

    JamiiForums Tanzania Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

    Mzee Vuta nikuvute, naona sasa umeshindwa kuvutia upande wa Lumumba ama wewe posho hupati? maana baada ya uchaguzi wa Arusha umebadilika sana
  12. nashy

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Kamati Ya Katiba Mpaya Waache Kulazimisha Agenda Zao Binafsi!!

    Huyu jamaa ana uandishi wa ajabu, yaani wa kihunu huni, mlipo hijack utaratibu wa kupata wajumbe mlitegemea nini? Warioba komaa nao tata mpaka kieleweke
  13. nashy

    JamiiForums Tanzania Polisi wahaha juu ya kauli ya CHADEMA kuimarisha ulinzi wa viongozi kupitia Red Brigade

    Nilimskia yule mama ikanibidi nicheke maana alikua anajikanyaga tu, baadaye anasema ni haki ya raia kujilinda na kuwalinda wenzao, anasema jeshi la polisi liko imara ila amesahau raia wanadhurika na jeshi haliwakamati wahusika
  14. nashy

    JamiiForums Tanzania Utafutaji wa waliolipuwa mkutano wa chadema.

    kwa taarifa tu hizi kofia zilivaliwa sana na wa communist wa China, Russia na wafuasi wa Fidel Castro, so huenda kazipata huko China
  15. nashy

    JamiiForums Tanzania Lwakatare aitisha press conference makao makuu CHADEMA

    mshikaji naona uko bar unazimua, ama ndo ndoto za asubuhi?
Back
Top Bottom