Recent content by nashukuru mzima

  1. nashukuru mzima

    JamiiForums Tanzania Bachelor of health system management mzumbe na bachelor of arts with education UDSM

    Ajira kiuhalisia ngumu kwenye faida ni ma nurse ,co waliotoka kazini wanabadilishwa cheo tu na kuwa makatibu wa afya ila serikali haiajiri
  2. nashukuru mzima

    JamiiForums Tanzania Bachelor of health system management mzumbe na bachelor of arts with education UDSM

    Wewe jamaa hebu kuwa serious muelekeze Dogo hali halisi hii ajira zake Mara nyingi serikali iikuwa imedeal kwa inservice
  3. nashukuru mzima

    JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kabisa kusimamia sekta ya usafiri wa pikipiki (bodaboda)!

    Kweli nimeamini wabongo wamechoka na maisha mada haiendani na ulichokiandika.
  4. nashukuru mzima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti iliyesemekana kapotea amerudi na mimba nyumbani

    Tufunge mjadala au tuendelee
  5. nashukuru mzima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti iliyesemekana kapotea amerudi na mimba nyumbani

    Mimba sio ugonjwa ,unaonekana umetoka mwinde sana ukilijua jiji hautamchukia binti mtengenezee mazingira asimame kwa mikono yake.
  6. nashukuru mzima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti iliyesemekana kapotea amerudi na mimba nyumbani

    Sasa miso ya nn hapo mkuu jf umekuwa na watu wapumbavu sana sikuizi
  7. nashukuru mzima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti iliyesemekana kapotea amerudi na mimba nyumbani

    Ila ndo wamekufundisha kujua kuandika na jinsi ulivyokuwa na kichwa kibovu wasingekuweza. Kima wewe
  8. nashukuru mzima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti iliyesemekana kapotea amerudi na mimba nyumbani

    Si ndo alituuliza nani mwenye kifua kizuri atakuwa apecha lololo maharage ya mbeya
  9. nashukuru mzima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani aliyekuonesha mapenzi haujaweza unamkumbuka hadi leo?

    Ulikuwa haunuki jasho
  10. nashukuru mzima

    JamiiForums Tanzania Kwanini hauendi kwenye saili za UTUMISHI?

    Jana hiyo interview
  11. nashukuru mzima

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Vijana mnapaniki bure. Mnaonekana mmeanza kuufuatilia huu uzi juzi. Ajira portal inaenda kwa trending kuna muda mwezi mzima kunakuwa hamna Now post,placement wala interview. Kusema taasisi za serikali zipewe mamlaka ya kuajiri wenyewe sahau hilo halitaweza kutokea kwa sasa. Dhima ya...
  12. nashukuru mzima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Umeitwa huku unazeeka vibaya
  13. nashukuru mzima

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkeka Huo
  14. nashukuru mzima

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    IT WA PSRS NI MDAU WETU JAMANI
  15. nashukuru mzima

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Admin kafanya yake
Back
Top Bottom