Recent content by NASHON KENNEDY

  1. N

    English learning thread

    Learning is a general total experience. But learning learning english it needs to be more practical in speaking. And if you want to be fluent in english let you learn different journals and including talking with people without fear!
  2. N

    Wabunge CCM Wataka Ndugai ang'oke

    Ninachokiona katika mjadala wa sasa wa bunge ni kuwa bunge limevunja katiba ya nchi, kutokana na ukweli kuwa viongozi wa bunge hawaruhusu wabunge kuzungumza kwa kina yale waliyotumwa na wananchi, lakini pia wamekuwa wanaonyesha upendeleo wa wazi kwa wabunge wa chama cha zamani! Katiba ya...
  3. N

    Kuzaliwa kwenye familia masikini siyo kosa lako, ila kuoa kwenye familia masikini ni uzembe

    Nasema kuoa kwenye familia maskini sio uzembe, kwani kuoa kunategemea vitu vingi, ikiwemo mwenendo, tabia na haiba ya mtu unayetaka kumuoa au kuolewa naye! Kuna watu tumewaona wameoa kwenye familia maskini lakini leo hii wana enjoy maisha! Unaweza ukakuta mtu( mwanaume) kampenda kwa dhati na...
  4. N

    Huu Utupu unazua balaa kwa lijali yeyote

    Hali hiyo inategemea na fikra na mawazo mgando ya mtu, kwani ukiwa tupu ndo mtu atapata hisia za ku make love na wewe? Akifanya hivyo atakuwa amemtamani mwanamke/ msichana husika bali hatakuwa na mapenzi ya dhati kwake! Lkn pia akina dada watambue kuwa sio lazima kuvaa mavazi ya utupu ndo...
  5. N

    I WANT TO SAY TO JF MEMBERS! I am a new JF Member, and I have started right now, please members i

    I am a new member for JF. Members let you receive my contributions as effect from now! I will be contributing from various aspects, economics, politics, international issues, love affairs and development issues. Kindly i need your kind support and contributions!
Back
Top Bottom