Recent content by Nashikalila

  1. Nashikalila

    JamiiForums Tanzania Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

    Moyo unamasikio na unasikia,sema nao katikati ya maumivu makali uliyo nayo.hiyo ndio dawa pekee nao utapona
  2. Nashikalila

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sugu hata akishinda Ubunge, asitangazwe, haiwezekani tupoteze heshima ya nchi kwa kumpoteza Rais wa IPU?

    Mleta Uzi sijakuelewa bado naona kama uateseka na sijui shida hiyo imekupata ukiwa wap
  3. Nashikalila

    JamiiForums Tanzania Kipi cha kuanza pindi unapopata ajira: Kuoa, nyumba, biashara au gari?

    Me nafikiri utash wako utaamua kulingana na mazungira
  4. Nashikalila

    JamiiForums Tanzania Nakushauri Rais Samia, achana na huyo haendani na wewe

    Yani Mimi nimeshangaa sana na nitaendelea kusha ngaa
  5. Nashikalila

    JamiiForums Tanzania Tusinunue vitu Used jamani

    Mbona kama sijaelewa
  6. Nashikalila

    JamiiForums Tanzania Nataka niende Chato nikaiombe msamaha familia ya Hayati Magufuli

    Baniani mbaya.........
  7. Nashikalila

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mtangazaji Oscar Oscar anatumia mitandao kufunza, kueneza na kuchochea itikadi za uzinzi. Mamlaka husika mchukulieni hatua

    Hawa ni wana habar wachache wasio kuwa na maadili,sijui anawafundisha nn watoto wake na jaamii kwa ujumla,TCRA na mamlaka nyinginezo zinazo husika chukueni hatua.
  8. Nashikalila

    JamiiForums Tanzania Mama mwenye nyumba kanunua friji matumizi ya umeme yameongezeka anataka niongeze pesa ya umeme. Ni sawa hii?

    Acha ujinga hama ukoo au unataka kujifanya mteja mzur wa barafu??
  9. Nashikalila

    JamiiForums Tanzania Tsh. 35m itanifikisha hatua gani kwa nyumba ya aina hii?

    Haaahaaa mkuu sikuwezi[emoji119]
  10. Nashikalila

    JamiiForums Tanzania Kutumia Internet bundles sasa imekuwa anasa

    [emoji1787][emoji23] mlipo tupo
  11. Nashikalila

    JamiiForums Tanzania Upendo wa kweli kwa Wanawake umeondoka haupo tena

    Weee naweee unashindwa vipkupeleka shuka na jembe unatuangusha
  12. Nashikalila

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mzazi kumuuzia mwanae kiwanja?

    Huyo mzazi ni mzazi bora ever annataka kukuonesha kuwa unatakiwa kuwa mwanaume na si kutegemea vya nyumbani,hata mm mzazi wangu aliniauzia hatua moja tu kutoka kiwanja nlichonunua ambacho si chake Ila vimepakana na chake,angeweza kunipa bure.acha manung'uniko lipia hela
  13. Nashikalila

    JamiiForums Tanzania Mtoto afariki dunia baada ya kuchomwa moto kwa mafuta ya taa na mama yake mzazi

    Jamani mtoto anauma ni kweli me ni single mazaa ila nikikumbuka uchungu ule,hapana nampenda mwanangu ata kama amefanana na gubaba gwake
Back
Top Bottom