Kutumia Internet bundles sasa imekuwa anasa

Kutumia Internet bundles sasa imekuwa anasa

Mpango mzima ni special bandle za Halotel,

15K - 18GB

Apa kidogo wapo resonable,

Wamenifanya niache kutumia Ma VPN
Nina fuu kidogo ila bado wako juu......kwani MB zinatumia mali ghafi gani kuzitengeneza hadi ziuzwe pesa nyingi?
 
Sikuhizi muda wa maongezi na SMS havina ishu ila kwenye bando hapa ndipo pesa inapigwa!!!
Kama jamiiforum ingekuwa inamaliza bando kama Instagram kitambo ningeachana nayo
Kweli aisee watu wa simu wamegundua pesa za vocha za maongezi na Sms zimeshuka kwa kiwango kikubwa.

Watu wanawasiliana Sms na calls kwa whatsaap tu.

Sasa wamehamusha Jeshi Kwenye bando.
 
Bundle la siku unajiunga kila baada ya saa mbili

Bundle la wiki unajiunga kila baada ya siku tatu

Bundle la mwezi unajiunga kila baada ya wiki mbili

[emoji41]
Duh hongera mkuu yaani bando la wiki unafilisha siku 3.Mimi masaa 24 tu kwishnei
 
Back
Top Bottom