Wazungu kuna wakristo safi na pia kuna washenzi wasiokuwa na dini na wapjnga kristo na pia waarabu kuna waislamu safi na kuna washenzi wasiodini kinachoangaliwa sio race bali imani na mafunzo yake na watu hawafuati aina ya race bali maandiko ya mungu .
Je wajua South Africa ni sehemu ya brics - brazil ,india ,china na yeye south africa hawa wanalengo la kuchallenge current world order na kuamsha multipolar world order yaani kuachana na mbabe mmoja na kuamsha waababe wengi wanaomanage world affairs ,ambapo ikisimama tegemea South africa...
Watakuwa majasiri kupitiliza unawezaje kuiface idf iliyochapa all arabs arms in 6days na pia ni funzo kuwa sio lazjma mavifaaa mengi uzalendo ,mapenzi kwa nchi na taifa hayawezi kushindwa mbele ya mabeberu hata waje na nini.
Netanyahu anakichaa sio mzima hakuna anayeshinda guerilla warfare sana ataendelea kuibomoa idf kila kukicha marekani na maicraft carrier na f32 na manuclear ila Afghanistan wamesurrender na kuwarudisha Taliban after 20years guerrila yaani kila siku unabeba maiti za askari wako thats dem war...
Wewe kajamaaa mtu wa lawama tu January 05.2024 London mji mzuri umapangwa ukapangika mito imepigwa hadi sakafu na kingo zinakuta ila tu nayo imeflood all river zimeoverflow ndio maana ya natural disaster panga upangavyo ila zikija ndio inakuwa hivyo.
Tatizo biashara huku hatutaki na pia tunawapiga vita wafanyabiashara wetu na pia jamii haziamini kwenye kufanya na kumiliki biashara ya kutatua matatizo yetu sie twapenda sana hiki kiatu kimetoka ujerumani basi ndio kizuri hatutaki tutengeneze cha kwetu hakuna uchumi imara wa kuimport kila kitu...
Hizo ndio kadi za iran middle east moja ni bab al mandab na ya pili ni kule strait of hormuz huwa alijipanga akizinguliwa na wenye dunia anajihakikisha anateknolojia ya kufunga hayo maeneo.
Pakistan imeshambuliwa halafu ajabu Pakistan hiyo hiyo jana pakistan navy zilikuwa kwenye mazoezi na iran navy mengi huwa yanaendelea behind the scene ya intelligence community wao moja hao huku nje wanadownplay for public comsumption pakistan walikuwa na uwezo wa kutungua missile ila airdefence...
Naona wamepiga missile Yemen kumtishia muiran kuwa they mean bussines nayeye muiran kapiga precise guided missile 1200km na bila kumiss kuwaonyesha kama mkileta vita hapa kwetu miji yenu itachapika kwa kuwa hizo missile zikiwa kwenye meli au submarine hakuna namna miji ya UK itasalimika kama...
Likely vitapiga us bases ndani ya saudia na sio saudi targets kama zamani kwa kuwa hostility ni us na uk dhidi yao ila kimkakati wanajua wakipiga aramco facility za saudi wanasimamisha uzalishaji mafuta na kutengeneza crisis ila kwa kuwa wanadeal na unmatched adversaries likely itakuwa ni...
Usa alishakuwa mshauri wa kijeshi na kuuza silaha kwa saudi arabi pamoja na coalition ya nchi za kiarabu na nchi moja ya west africa wamepigana na hivyo vijamaa for 7 years 2015 hadi 2022 wakasaini makubaliano ya amani hizo airstrike washapigwa toka miaka hiyo na saudi airforce ambayo ni ndege...
Wanachofanya ni illogical lwenda kushambulia Yemen badala ya kuishauri israel isimamishe vita ili wayemen waache kushambulia meli zao maana wayemenj wanaweka presha hiyo ila sasa usa na uk wanaona kuzidisha mzozo ndio suluhu sasa air strike zinazuia vipi wayemen wasiingie baharini na kushambulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.